25/12/2025
*Christmas Blessings & Greatings.*
Baraka na Salam za Krismasi
Heri ya Sikukuu ya Krisimasi kwako na familia, Mungu akujaze Baraka na Upendo na furaha tele katika msimu huu wa Sikukuu. Barikiwa sana. Tukumbuke na kujali sana kuwa/kufanya pamoja na Mungu katika kila hatua.
Emmanuel God with Us (Emmanuel Mungu Pamoja Nasi) (Math 1:23).
©️GADIU NETWORK