Casfeta_Maji

Casfeta_Maji Casfeta maji

27/07/2026

UNAWEZA KUSUPPORT MISSION

LIPA NAMBA AIRTEL
13802091 CASFETA MAJI
NMB ACCOUNT
20810074483 CASFETA MAJI

MUNGU AWABARIKI SANA

25/07/2026

USIKOSE KUSHIRIKI BARAKA HIZI KATIKA KUIPELEKA INJILI

Unaweza kushiriki kwa kuchangia:
πŸ’° Sadaka
πŸ‘• Nguo
πŸ‘Ÿ Viatu
πŸŽ’ Vifaa vya shule
πŸ“– Biblia
🍚 Vyakula na mahitaji mengine ya msingi.

Mchango wako unaweza kubadilisha maisha na kueneza upendo wa Kristo. ❀️

LIPA NAMBA AIRTEL
13802091 CASFETA MAJI
NMB ACCOUNT
20810074483 CASFETA MAJI

"Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu." – 2 Wakorintho 9:7

18/07/2026

GRADUATION RECAP

Tunamtukuza Mungu kwa kutuwezesha kufanya mahafali yaliyokuwa ya baraka sana. Tunatoa shukurani zetu kwa dhati kwa wote ...
07/07/2026

Tunamtukuza Mungu kwa kutuwezesha kufanya mahafali yaliyokuwa ya baraka sana.
Tunatoa shukurani zetu kwa dhati kwa wote waliofika na kushiriki nasi katika mahafali.
Mungu awabariki sana kwa uwepo wenu.

Kwa neema ya Mungu leo tumepata nafasi ya kusifu, kuabudu na kujifunza neno la Mungu juu ya Mamlaka ya kutangaza injili ...
03/07/2026

Kwa neema ya Mungu leo tumepata nafasi ya kusifu, kuabudu na kujifunza neno la Mungu juu ya Mamlaka ya kutangaza injili kutoka kwa mtumishi wa Mungu Damian Christopher kupitia kitabu cha mathayo 28:19-20

03/07/2026

Ibada ya sifa kwenye kilele cha wiki la finalists

FINALISTS WEEK 2026 Pray in every situation β€” Philippians 4:6Safari ya kumaliza chuo si mwisho bali ni mwanzo wa hatua m...
29/06/2026

FINALISTS WEEK 2026
Pray in every situation β€” Philippians 4:6

Safari ya kumaliza chuo si mwisho bali ni mwanzo wa hatua mpya. Kabla ya kuingia kwenye msimu mpya hebu tukutane kwanza mbele za Mungu katika wiki ya maombi, ibada, na Neno la Mungu.
πŸ“… 29 June – 03 July
πŸ•˜ 2100 Hours
πŸ“ Malagarasi I
πŸ”₯ Bible Study
🎢 Praise & Worship
πŸ“– Word of God
πŸ™ Fasting & Prayers
Karibu uje upokee nguvu, uongozi na neema kwa hatua inayofuata ya maisha yako.
Usikose! Mungu ana jambo maalum kwa ajili yako.

06/06/2026

Amua leo kumtumikia Bwana

Yoshua 24:15
lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.

31/05/2026

Mfalme wa utukufu worship session

31/05/2026

Ubarikiwe Bwana kwa maana fadhili zako ni za milele

Address

UNIVESITY Road
Dar Es Salaam
WATERINSTITUTE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Casfeta_Maji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share