28/05/2023
Jina la Bwana libarikiwe Kwa ibada ya juma pili ya kibali cha Kiungu katika picha. Hakika tumemuona Mungu Kwa kibali chake katika Kanisa la WINNING GRACE MINISTRIES INTERNATIONAL lililopo kitunda Police mkabara na Shule ya Blessed Hill. Karibu sana katika ibada zetu Kila juma pili saa Nne kamili asubuhi Hadi saa sita mchana.