Kiwalani SDA Choir

Kiwalani SDA Choir Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kiwalani SDA Choir, Religious organisation, kiwalani sda church, Dar es Salaam.

22/05/2026
22/05/2026

JITAHIDI SANA SIKU HII ISIKUPITE KABISA
Hii Itakuwa ni Miongoni mwa siku Bora Yenye Baraka na Historia katika Maisha yako ya Kiroho Jiandae Kubarikiwa na Ibada hii.




πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ KIWALANI SDA CHOIR
15/04/2026

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
KIWALANI SDA CHOIR

27/02/2026

UNIREHEMU!! UNIREHEMU!! UNIREHEMU!!
πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
Huu ni Mbaraka Mwingine unaokujia Leo saa Moja na Nusu Jioni kutoka kwa Kwaya yako pendwa KIWALANI SDA Kiwalani SDA Choir

KAA KARIBU NA YOUTUBE CHANNEL YETU ILI USIPITWE NA MBARAKA HUU

Gusa Kiunganishi (Link) hii Ili Ubarikiwe na Ujumbe huu kutoka kwa   Shimo walilochimba Adui zako kwa Ajili yako Watatum...
10/09/2024

Gusa Kiunganishi (Link) hii Ili Ubarikiwe na Ujumbe huu kutoka kwa
Shimo walilochimba Adui zako kwa Ajili yako Watatumbukia wenyewe

Next Stop Hakikisha Ratiba zako zimekata sawa Kwa Ajili ya Kubarikiwa Siku ya Tarehe 24/08/2024 hapo kwenye Makambi ya K...
19/08/2024

Next Stop
Hakikisha Ratiba zako zimekata sawa Kwa Ajili ya Kubarikiwa Siku ya Tarehe 24/08/2024 hapo kwenye Makambi ya Kanisa la Kigogo Fresh Sisi tutakuwepo hapo...

πŸ“Έ πŸ“Έ Picha za Matukio & Huduma ya  Kwaya ya Kiwalani kwenye Sabato ya Kufungua Makambi hapa Kanisa la BEROYA Mtaa wa Kipu...
10/08/2024

πŸ“Έ πŸ“Έ Picha za Matukio & Huduma ya Kwaya ya Kiwalani kwenye Sabato ya Kufungua Makambi hapa Kanisa la BEROYA Mtaa wa Kipunguni.....
Karibu Sana kwa Mibaraka ya Siku hii ya Leo,
USIPANGE KUKOSA πŸ”₯πŸ”₯

Gusa Links hii hapa kuitazama Video yako Pendwa kutoka kwa Kwaya ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiwalani
07/04/2023

Gusa Links hii hapa kuitazama Video yako Pendwa kutoka kwa Kwaya ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiwalani

Karibu Utazame Wimbo huu wa Kwaya ya Kanisa la Wasabato Kiwalani Naamini Utabarikiwa Zaidi.

KIWALANI SDA CHOIR ON STAGEπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Owigo Jr JaKobidha Jategi Jakobidha Jak**arwa Jagirango Opiyo Kabunde Owigo Amos Jategi
05/10/2022

KIWALANI SDA CHOIR ON STAGE
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Owigo Jr JaKobidha Jategi Jakobidha Jak**arwa Jagirango Opiyo Kabunde Owigo Amos Jategi

Address

Kiwalani Sda Church
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiwalani SDA Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share