Scheikinah Glory Church Tanzania

Scheikinah Glory Church Tanzania MIRAV-CHURCH Ni kanisa la Huduma wa Uhamusho Mti wa Uzima kwa mataifa yote.

10/10/2016

Namuomba Mungu awatendee muujiza katika chochote ufanyalo kialali, kwa wale wote wamewahi ku like hii page MIRAV, MUNGU wa Pastor Apostle EVARISTE KAMUNGA awatembelee kipekee katika jina la Yesu bwana na mkombozi wetu. AMEN!!!

Mungu upenda mtu anaye mshuhudia mbele za watu na kufanya kitu kipya zaidi pamoja naye. Kumbuka chochote Mungu kakutende...
10/10/2016

Mungu upenda mtu anaye mshuhudia mbele za watu na kufanya kitu kipya zaidi pamoja naye.

Kumbuka chochote Mungu kakutendea na useme ASANTE BWANA.

Ushuhuda ni sehemu ya kumtukuza Mungu tena kuwapa wengine imani ya kuamini kuwa Mungu yupo na bado anatenda makubwa kati...
10/10/2016

Ushuhuda ni sehemu ya kumtukuza Mungu tena kuwapa wengine imani ya kuamini kuwa Mungu yupo na bado anatenda makubwa katika maisha yetu..

27/09/2016

Teacher keyboard wa MIRAV ndugu ASANTE THOMAS...

Na kila mwenye pumzi na amsifu Bwana...
27/09/2016

Na kila mwenye pumzi na amsifu Bwana...

YOHANA 3: 3-7,  Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia ufanye wa Mungu..... TUKIPOKEA WAKRISTO WAPYA KATIK...
12/09/2016

YOHANA 3: 3-7,

Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia ufanye wa Mungu.....

TUKIPOKEA WAKRISTO WAPYA KATIKA YESU...

UBATIZO....

Nyumba ambayo imepokea mgeni ina barikiwa.... Asante mama Deborah kwa kazi kubwa kanisani kwetu.
01/08/2016

Nyumba ambayo imepokea mgeni ina barikiwa.... Asante mama Deborah kwa kazi kubwa kanisani kwetu.

14/07/2016

Baba ASKOFU Pastor JEREMIAH... Video..

14/07/2016
JUMAPILI ya leo 03.07.2016 tumempokea baba yetu Askofu mkuu wa makanisa zetu za MIRAV, Pastor_Nabii Papa JEREMIE NGOY. T...
03/07/2016

JUMAPILI ya leo 03.07.2016 tumempokea baba yetu Askofu mkuu wa makanisa zetu za MIRAV, Pastor_Nabii Papa JEREMIE NGOY.

Tunasema karibu sana Katika yetu baba yetu... Mungu akutumie atakavyo utupatie yote aliyosema nawewe.

Tena karibu....

08/06/2016

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Scheikinah Glory Church Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share