mr_agust6324

mr_agust6324 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mr_agust6324, Religious organisation, Dar es Salaam.

26/01/2026
Kila kitu na wakati wakeHata Mungu aliumba vitu kwa mudaYaan step kwa step. Ukiwa wewe nj mfano wa Mungu Lazima uige tab...
05/01/2023

Kila kitu na wakati wake
Hata Mungu aliumba vitu kwa muda
Yaan step kwa step.

Ukiwa wewe nj mfano wa Mungu
Lazima uige tabia za Mungu

Tambua season uliopo now
Ili uweze kutenda jambo sahihi kwa
Wakati sahihi.

I KULIPWA WEMA BAADA YA KUTENDA WEMA . Sio jukumu lako kulipwa wema baada ya kutenda wema ila jukumu lako ni kutenda wem...
26/10/2021

I KULIPWA WEMA BAADA YA KUTENDA WEMA . Sio jukumu lako kulipwa wema baada ya kutenda wema ila jukumu lako ni kutenda wema hata k**a unaemtendea wema sio mwema kwako.

2 KULIPWA DENI LAKO. Pesa haikosi matumizi na pesa yako ni ile iliokuwa mkononi mwako lakini iliokuwa mkononi kwa mwenzako si yako chochote kinaweza kutokea kulipwa au kutolipwa.

3 KUPENDWA NA KWA DHATI. Mapenzi hana dhamana anaekupenda leo sio ajabu kesho ndio akawa adui mkubwa kwako, Sio vyema kutaraji kupendwa kwa dhati wakati moyo ni kiungo chenye kubadilika mara kwa mara.

4 FURAHA MUDA WOTE. Hakuna furaha ya kudumu katika hii dunia hata k**a utamiliki nusu ya dunia lakini huwezi kudumu na furaha. Tumezungukwa na vingi vyenye kutuondoshea furaha na vingi vyenye kutupa furaha. Furaha ni k**a afya inakuja na kuondoka . ...

5 KUDUMU KAZINI KWAKO. Haijalishi ni mwema kiasi gani mbele ya muajiri wako lakini lazima ufahamu kuwa kila kitu kinamwisho ipo siku utatoka ulipo na kuanza kwengine. Utatoka kwa umri haukuruhu tena au utatoka kwa kutolewa.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0752373432

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mr_agust6324 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to mr_agust6324:

Share