Tujuzaneblog

Tujuzaneblog Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tujuzaneblog, Religious organisation, Dar es Salaam.

“Kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo za Covid- 19 (zilizoorodheshwa na WHO) zina ufanisi na usalama unaokubalika Kisayan...
17/05/2021

“Kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo za Covid- 19 (zilizoorodheshwa na WHO) zina ufanisi na usalama unaokubalika Kisayansi, kipaumbele cha utoaji wa chanjo kiwe kwa Wahudumu wa vituo vya kutolea huduma za afya na Watumishi walio mstari wa mbele”

“Tangu kuingia kwa Covid 19 Tanzania March 2020, Tanzania imekumbwa na mawimbi mawili makubwa na sasa kutokana na mwenendo wa ugonjwa huo katika Mataifa mengine Duniani, kuna tishio la kutokea wimbi la tatu nchini"
Kamati ya tathmini ya Corona

07/05/2021

UNAWAPA MAX NGAPI KAJALA NA PAULA

07/05/2021

UNAWAPA MAX NGAPI KAJALA NA

MWANA FA AFUNGUKA SAKATA LA NAY KUFUNGIWA "Sidhani k**a muziki unahitaji mipaka mingi kiasi hicho japo siungi mkono lugh...
04/05/2021

MWANA FA AFUNGUKA SAKATA LA NAY KUFUNGIWA

"Sidhani k**a muziki unahitaji mipaka mingi kiasi hicho japo siungi mkono lugha chafu au maneno ya matusi kwenye nyimbo sababu unasikika sana na tunaharibu hata Watoto mapema" ——— on XXL kuhusu BASATA kupitia nyimbo kabla ya kupelekwa Redioni.

TIMU IMESHUSHWA DARAJA HUKO
04/05/2021

TIMU IMESHUSHWA DARAJA HUKO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta wakat...
04/05/2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta wakati wa nyimbo za Mataifa Mawili ya Tanzania na Kenya zikipigwa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021.

📸-IKULU

“Mwaka huu December, Tanzania tunatimiza miaka 60 ya Uhuru wetu na nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Kenyatta awe Mgeni ras...
04/05/2021

“Mwaka huu December, Tanzania tunatimiza miaka 60 ya Uhuru wetu na nimetoa mwaliko rasmi kwa Rais Kenyatta awe Mgeni rasmi katika Maadhimisho yale ya miaka 60 ya Uhuru wetu”———Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan amesema amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ambapo wamekubaliana mambo kadhaa i...
04/05/2021

Rais Samia Suluhu Hassan amesema amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ambapo wamekubaliana mambo kadhaa ikiwamo kukuza na kuimarisha uhusiano na mshik**ano kati ya mataifa hayo mawili.

Hizi ndio faida ya juisi ya miwaInafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi maeneo tofauti tofauti Nchini mwetu n...
03/05/2021

Hizi ndio faida ya juisi ya miwa

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi maeneo tofauti tofauti Nchini mwetu na mitaa tofauti tofauti wanaouza juisi ya miwa.

Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa.​

Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi.

Miwa ina faida nyingi kiafya. Juisi ya miwa inafahamika na wataalamu wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya ‘glucose’ iliyopo.

Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori 11. Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni k**a phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.

Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tunda lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa.

Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu.

Virutubisho vilivyopo katika miwa vina manufaa makubwa katika kusaidia utendaji kazi wa ogani muhimu k**a figo, moyo, ubongo na viungo vya uzazi.

Pia, wagonjwa wa kisukari wasihofie sukari iliyopo kwenye miwa kwani haina madhara yoyote kwao. Uzuri wa juisi ya miwa ni kuwa sukari yake ni halisia.

Kila ifikapo May 3 ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya uhuru wa habari dunianiTanzania kilele cha maadhimisho hayo ...
03/05/2021

Kila ifikapo May 3 ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya uhuru wa habari duniani

Tanzania kilele cha maadhimisho hayo hufanyika jijini Arusha na Mgeni Rasmi ni waziri wa habari, Innocent Bashungwa

Kauli mbiu ya Mwaka huu ni “Habari kwa Manufaa ya Umma”

TUWAOMBEE WADOGO ZETU NA WANETU Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dk. Charles Msonde, amesema kuwa ...
02/05/2021

TUWAOMBEE WADOGO ZETU NA WANETU
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dk. Charles Msonde, amesema kuwa mitihani ya kidato cha sita Tanzania Bara na Visiwani itaanza kesho Mei 3 hadi Mei 25, 2021.

“Tutapandisha mishahara ya Watumishi (Mwakani) ikiwemo kuongeza kima cha chini cha mishahara kwa Sekta ya Umma na Sekta ...
01/05/2021

“Tutapandisha mishahara ya Watumishi (Mwakani) ikiwemo kuongeza kima cha chini cha mishahara kwa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na katika hilo naagiza kuundwa haraka kwa Bodi za Mishahara ili wafanye kazi, mwakani nijue napandisha kwa kiasi gani”-Rais Samia

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tujuzaneblog posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tujuzaneblog:

Share