21/07/2026
Tulikusanyika kwa moyo mmoja, tukafanya kazi kwa bidii, na kila hatua ikawa ushuhuda wa neema ya Mungu. Hizi ni baadhi ya kumbukumbu zetu tukiwa location. Tunaamini kile kinachokuja kitagusa mioyo mingi. Mungu apewe utukufu! ๐โค๏ธ