PHM-Mount HOREB

PHM-Mount HOREB PHM-MOUNT HOREB, ni kanisa la kipentekoste lililoko Mbezi-Makabe Dar es Salaam, chini ya Mch. HELENA KASEKWA. Ukurasa huu ni ku-share habari za NENO LA MUNGU.

Kanisa linatoa huduma Mbalimbali k**a Neno la Mungu, Maombi na Maombezi, Ushauri wa Kiroho.

Soon...🍷🥮🥂
03/08/2023

Soon...🍷🥮🥂

Hongera Mr & Mrs Eliud kwa hatua na uamuzi uliouchukua.Mungu akubariki.
26/03/2023

Hongera Mr & Mrs Eliud kwa hatua na uamuzi uliouchukua.
Mungu akubariki.

Hongera Mr &Mrs Eliud
26/03/2023

Hongera Mr &Mrs Eliud

Hakika ilifana sana,Hongera sana ndugu Ambele.Nakutakia maisha mema.
05/12/2022

Hakika ilifana sana,Hongera sana ndugu Ambele.Nakutakia maisha mema.

Mungu ni mwema.Kwa kutuweza kulikamilisha hili."Brave father's made it"💪
20/11/2022

Mungu ni mwema.
Kwa kutuweza kulikamilisha hili.
"Brave father's made it"💪

30/10/2022

🔥🔥❤️

Hakika Mungu alitenda na anaendelea kutenda.
06/10/2022

Hakika Mungu alitenda na anaendelea kutenda.

01/10/2022

#

Hakika siku yenu ya wamama ya kutegemeza ilifana hongereni sana,🤝
28/09/2022

Hakika siku yenu ya wamama ya kutegemeza ilifana hongereni sana,🤝

19/09/2022

Kukaa kimya nalo ni jibu,Mungu atujalie kutupa utulivu wa kumsikiliza YEYE,katika maisha haya.🙏

07/08/2022
Neema ya Mungu yatutosha..🙏
06/08/2022

Neema ya Mungu yatutosha..🙏

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PHM-Mount HOREB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to PHM-Mount HOREB:

Share