Nguvu ya Maombi 24/7

Nguvu ya Maombi 24/7 Prayers 24 hours

17/07/2022

Barikiwa Yesu wewe ni wamilele

Moto uleule kuni tofauti.Kesho tumalizia kongamano laSiku 5 za kuchipuka tena.Rev.Joseph Bungumba.Moto unawaka
28/05/2022

Moto uleule kuni tofauti.
Kesho tumalizia kongamano la
Siku 5 za kuchipuka tena.

Rev.Joseph Bungumba.
Moto unawaka

05/02/2022
Karibu sana jpili hii tunaibada ya shukurani.Tunamshukuru Mungu kutuvusha mwaka2021 na kutupa nafasi kuingia mwaka2022.K...
25/01/2022

Karibu sana jpili hii tunaibada ya shukurani.
Tunamshukuru Mungu kutuvusha mwaka
2021 na kutupa nafasi kuingia mwaka2022.
Karibuni chakula na vinywaji ni bure

Mung akufute machozi kupitia hayo unayo yapitia.           Mpe Mungu utukufu
16/01/2022

Mung akufute machozi kupitia hayo unayo yapitia.
Mpe Mungu utukufu

Hepuka haya nawe utakuwa salama kabisa.   Kujiwazia mabaya.   Kusema siwezi    Umesahaulika.Jiamini kuwa unaweza hata k*...
13/01/2022

Hepuka haya nawe utakuwa salama kabisa.
Kujiwazia mabaya.
Kusema siwezi
Umesahaulika.
Jiamini kuwa unaweza hata k**a matumaini ya kukufanya uweze hayapo

07/01/2022

K**a unataka kuwa bora lazima
Ujitaidi kufanya vitu.
Vitakavyo kupelekea kuwa bora

07/01/2022

Address

Africana
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255652132121

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nguvu ya Maombi 24/7 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share