14/02/2026
Karibu sana kwenye Ibada Maalum ya Shukrani na Urejesho baada ya kumaliza Mfungo wa Siku 40!
Huduma ya IRCT - HEMA LA UPATANISHO inakualika wewe na familia yako katika ibada ya Jumapili ya kipekee ya kumshukuru Mungu kwa ushindi, maombi yaliyojibiwa, na neema mpya iliyoachiliwa juu yetu.
π Goba Kulangwa, Mtaa wa Mariga Road, barabara ya njia nne β Madale
π€ Uongozi wa Kanisa: Apostle Deogratius Lukanda
π 0765695805
Usikose! Njoo upokee neno, upako na mwelekeo mpya baada ya siku 40 za maombi.
Mlete na mwenzako β Mungu ana jambo lako Jumapili hii! π₯π
Muda ni saa Tatu na nusu Asubuhi - mpaka saa saba mchana
pita tutakuwa mubashara kupitia Upatanisho radio -Sauti ya Ushindi.
kwa kubonyeza link hii π
Listen to Upatanisho Radio -
Listen to Upatanisho Radio online