Spirit Embassy Tanzania

Spirit Embassy Tanzania This is the official page of Spirit Embassy Tanzania under Prophets Uebert & Beverly Angel

03/06/2026

RECEIVE YOUR HEALING as you listen to this prayer for you!

03/06/2026

JUMATANO, JUNI 3

Habari njema kilasiku

MWENYE AKILI

Mhubiri 10:7
Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, na wakuu wakienda kwa miguu juu ya nchi k**a watumwa.

Wakristo wengine wanaweza kuelewa kwa urahisi andiko lililo hapo juu. Kwa nini? Kwa sababu hawapati maisha katika mpangilio ambao Mungu aliwawekea. Wakuu wanapaswa kuwa wale waliopanda farasi na si wenda kwa miguu. Yesu alisema, "Wana wa ulimwengu huu katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru" (Luka 16:8). Ukomavu katika Mungu unahakikisha k**a mtu anaweza kuchukua baraka na urithi wa Mungu kikamilifu katika maisha haya.

Katika Mwaka huu wa Mafuta ya Ajabu, fanya uamuzi wa makusudi wa kukua haraka kwa kujitoa kujifunza Neno ili uwe Mkristo mkomavu. Neno la Mungu linakufanya uwe mwerevu zaidi, na mbunifu. Usiishi tu ili upate faida. Hukuzaliwa tu ili kuwasindikiza wengine huku wakifurahia maisha ya kila siku. Chukua nafasi yako halali k**a mrithi pamoja na Kristo.

MAOMBI YA LEO
Baba, nikuze haraka katika ukomavu wa kiroho. Neno lako liongeze hekima yangu, ubunifu, na uelewa, na liniweke mahali pangu pa haki k**a mrithi pamoja na Kristo.

TAMKO LA KINABII
Neno la Mungu linaongeza hekima na ukomavu wangu. Uwezo wake wa ubunifu sasa unafanya kazi ndani yangu. Ninatoa suluhisho kwa kila changamoto inayonikabili. Haleluya!

MAFUNZO ZAIDI Luka 18:1-9 (MSG)

MKAKATI WA BIBLIA WA SIKU 365

SIKU YA 154 Luka 10:25-42; Zaburi 60-62

02/06/2026

JUMANNE, JUNI 2

Habari njema kilasiku

ENEZA NJE

1 Timotheo 4:15
Uyafakari hayo; ukae katika hayo; ili kuendelea kwako kuwe dhahiri kwa watu wote.

Mungu anatamani usiwe na maendeleo maishani kimya kimya, bali maendeleo yako yasambae nje ya nchi. K**a vile mwanamke mjamzito asivyoweza kuficha ujauzito, maendeleo yako maishani yanapaswa kuwa dhahiri kwa wote. Neno dhahiri katika andiko letu la ufunguzi linamaanisha kuenea nje, kudhihirika, kupasuka.

Mtume Paulo alimkumbusha Timotheo kwamba kipawa alichokuwa amepokea kwa unabii na kuwekewa mikono hakikutosha. Timotheo alihitaji kujikita katika Neno la Mungu kupitia kutafakari. Kutafakari kulikuwa njia iliyohitajika ili kufanikiwa kwake kuwe dhahiri kwa wote.

Je, ni biashara yako au kanisa lako unalohitaji kusambaa nje ya nchi? Je, ni wito wako, karama au kipaji chako unachohitaji kukidhihirisha? Tafakari na utafumuka nje!

MAOMBI YA LEO
Bwana, chochea moyo wangu kutafakari Neno Lako kila mara. Acha maendeleo yangu yatokee na yawe dhahiri kwa wote, na kusababisha kila karama, wito, na mgawo maishani mwangu kuenea kote.

TAMKO LA KINABII
Ninapotafakari Neno mchana na usiku, ninapata ufahamu zaidi kuhusu uhalisia. Maendeleo yangu na maongezeko yangu maishani ni hakika na yamehakikishwa katika jina la Yesu. Amina.

MAFUNZO ZAIDI Warumi 12:2

MKAKATI WA BIBLIA WA SIKU 365

SIKU YA 153 2 Wafalme 10-12; Matendo 9:23

Join us for a powerful time of giving during Global Missions Week with The Ra’ah – Prophet Uebert Angel! 🌍🔥As we gather ...
01/06/2026

Join us for a powerful time of giving during Global Missions Week with The Ra’ah – Prophet Uebert Angel! 🌍🔥

As we gather to advance the Gospel of Jesus Christ around the world, this is your opportunity to make a lasting impact through your seed.

Go ahead and start giving
📅 1–5 June 2026
⏰ 6PM BST | 7PM CAT
📺 LIVE on all GoodNewsWorld TV Networks

Together, let’s reach nations, transform lives, and take the Gospel to every corner of the earth.

01/06/2026

We are honored to welcome our international guests to Tanzania as we worship, pray, and encounter God as one family.

“For My house shall be called a house of prayer for all nations.” — Isaiah 56:7

01/06/2026

🔥 FRESH FIRE PART 2 SUNDAY HIGHLIGHTS 🔥

Some moments can’t be explained… only experienced.

From powerful worship to life-changing encounters, God moved mightily in our midst by the unction of our Father The Raah Prophet under Chaplain . 🙌🔥

If you were there, tell us in the comments: What was your biggest takeaway from the service? 👇

01/06/2026

JUMATATU, JUNI 1

Habari njema kilasiku

ANGAZA

Waefeso 5:8
Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; enendeni k**a watoto wa nuru.

Sasa tunaishi katika siku za mwisho ambapo giza limeongezeka juu ya uso wa Dunia. Uovu na maasi vimekuwa utaratibu wa kila siku. Vituo vya habari vinaripoti kila siku changamoto za kijamii, kiuchumi, kimazingira, kisiasa, kimatibabu na kiroho zinazokabili ulimwengu. Vinatoa picha kamili ya giza ya hali ya Dunia na wakazi wake.

Msiogope mtakapoona haya yakitokea; jipeni moyo. Hatusumbuliwi, hatuguswi, wala hatutishiki na habari mbaya zinazoenea kwenye mitandao ya habari. Ulimwengu unasema, "kuna mwanga mwishoni mwa handaki," lakini sisi ndio mwanga unaotembea kwenye handaki. Tumekingwa na mifumo na maadili hasi ya ulimwengu.

MAOMBI YA LEO
Baba, nakushukuru kwamba mimi ni nuru katika Bwana. Nitie nguvu nitembee k**a mtoto wa nuru, asiye na woga katika nyakati za giza, na acha maisha yangu yaangaze ulimwengu wangu kwa utukufu na wema wako.

ТАМКО LA KINABII
Mimi ni mng'ao,mwangaza-wa utukufu wa Mungu. Ninang'ara kwa mng'ao, nikiangaza ulimwengu wangu kwa utukufu na wema. Mimi ni mleta nuru na jibu kwa ulimwengu unaokufa.

MAFUNZO ZAIDI Isaya 60:2

MKAKATI WA BIBLIA WA SIKU 365

SIKU YA 152 2 Wafalme 7-9: Matendo 9:1

Fresh Fire pt.2 Sunday Service was POWERFULLY ministered by Chaplain Trevor Angel under the mighty unction of our Spirit...
31/05/2026

Fresh Fire pt.2 Sunday Service was POWERFULLY ministered by Chaplain Trevor Angel under the mighty unction of our Spiritual Father, Prophet Uebert Angel! The Word released has surely left none the same way they came in.

Spirit Embassy Dares Salaam is SURELY the place to be.
Asante kwa kuabudu nasi. See you next week family

🔥Youth  Sunday Service 🔥Faith loud, joy louder, and hearts full of purpose 🤍🙌A beautiful day of worship, connection, lau...
31/05/2026

🔥Youth Sunday Service 🔥

Faith loud, joy louder, and hearts full of purpose 🤍🙌
A beautiful day of worship, connection, laughter, and growing together in Christ.

Asante kwa kuungana nasi. See you next Sunday!❤️

Address

Impala Hall, Mbezi Beach Makonde
Dar Es Salaam

Website

http://www.goodnewsworld.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Spirit Embassy Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Spirit Embassy Tanzania:

Share

Category