21/05/2026
🎥 MEET OUR VIDEOGRAPHER FROM GCE MEDIA – ELISHA WILLIAM
Grace Of Christ Embassy kwa furaha inamtambulisha mmoja wa wataalamu wa Media watakaohusika rasmi katika tukio kubwa la GCE GRAND OPENING 2026.
Kijana mwenye ubunifu, maono, na uwezo mkubwa wa kunasa matukio yenye kugusa maisha na kuacha historia kupitia lens ya kamera.
Kupitia huduma yake katika videography, kila wakati wa tukio hili utawekwa katika kumbukumbu ya kizazi kwa ubora, weledi, na ufunuo wa kipekee.
Jiunge nasi tunapoingia katika msimu mpya wa revival, impact, na udhihirisho wa utukufu wa Mungu.
📅 JUMAMOSI, 20 JUNI 2026
⏰ SAA 4:00 ASUBUHI (EAT)
📍 Nuru Njema Ground, Tegeta Nyuki, Dar es Salaam, Tanzania
Njoo ushuhudie mazingira ya kipekee yatakayobadilisha maisha na hatima za wengi.
🔥 GCE GRAND OPENING
“WE’RE JUSTIFIED BY GRACE”