Tag Mbande Christian Centre

Tag Mbande Christian Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tag Mbande Christian Centre, Religious organisation, Dar es Salaam.

πŸ“Ί  πŸ“ TAG Mbande Christian CentreπŸ“… August 30, 2026🎀 MNENAJI: Mch, Rev Kisinga Ernest πŸ“– UJUMBE: MJUE UNAYE MWISHIA NA KUMT...
30/08/2026

πŸ“Ί
πŸ“ TAG Mbande Christian Centre
πŸ“… August 30, 2026
🎀 MNENAJI: Mch, Rev Kisinga Ernest

πŸ“– UJUMBE: MJUE UNAYE MWISHIA NA KUMTUMIKIA
πŸ“š Ayubu 22:21; Yohana 1:15–17, 29

MAISHA YA WOKOVU HUAMBATANA NA UTUMISHI/UTENDAJI
a)Ni muhimu kujua kwamba anayemwishia na kumtumikia ni Kristo, sio mwanadamu.

b)Kumjua Kristo/Mungu katika maisha yako na utumishi kuna Baraka, Amani na Nguvu.

πŸ‘‰ Viongozi, wachungaji, nk. ni watumishi tu tunaowalekeza watu kwa Mungu wao.

Mjue Kristo/Mungu, ishi na kumtumikia.
πŸ“– 1 Nyakati 28:9

✨ MATOKEO YA KUMJUA UNAYETUMIKIA NA KUMWISHIA
a)Maisha yako yatabadilishwa
πŸ“– Luka 19:1–9

b)Utamtumikia Mungu kwa furaha bila kusukumwa
πŸ“– 1 Nyakati 29:9

c)Utamwabudu Mungu katika Roho na kweli
(Ibada zitajaa uwepo wa Bwana)
πŸ“– Ebrania 12:28–29

ILI KUMJUA MUNGU KIKAMILIFU KATIKA MAISHA YAKO

a)Kujitwika msalaba wake na kujikana mwenyewe
πŸ“– Luka 9:23–24

b)Kuwa na moyo wa unyenyekevu, uliotayari kuongozwa na kupokea maonyo
πŸ“– Isaya 66:2

✍️ CHUKUA HATUA MUHIMU ZA KUMJUA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO.

Kwa kuwa imeandikwa, K**a niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.Warumi 1...
30/08/2026

Kwa kuwa imeandikwa, K**a niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.Warumi 14:11

✨ IBADA YA JUMAPILI ✨
Ibada ya Jumapili: πŸ“… August 30, 2026

Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.Ufunuo  1:8✨...
30/08/2026

Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.Ufunuo 1:8

✨ IBADA YA JUMAPILI ✨
Ibada ya Jumapili: πŸ“… August 30, 2026

✨ IBADA YA JUMAPILI ✨Ibada ya Jumapili: πŸ“…August 30, 2026Kwaya ya Vijana |The Voice|Walimwimbia MUNGU Leo ibadani.
30/08/2026

✨ IBADA YA JUMAPILI ✨
Ibada ya Jumapili: πŸ“…August 30, 2026

Kwaya ya Vijana |The Voice|
Walimwimbia MUNGU Leo ibadani.

30/08/2026

πŸ“Ί
πŸ“ TAG Mbande Christian Centre
πŸ“… August 30, 2026
🎀 MNENAJI:Mch, Rev Kisinga Ernest

πŸ“– UJUMBE:MJUE UNAYE MWISHIA NA KUMTUMIKIA

✨ Karibu tushiriki pamoja ibada hii ya baraka na uwepo wa Mungu.
Usisahau kushare na kuwaalika wengine wapate neema hii πŸ™

KWA SADAKA NA MICHANGO
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Bank: NMB Bank
Account Name: Mbande Christian Centre
Account No: 22410044321

Airtel Money: +255 683 275 574
Tag Mbande

πŸ™ Karibu sana, Mungu akubariki!

Mkesha wa Vijana na Mahusiano | Agosti 28, 2026 | Tag Mbande Christian Center -Dar es Salaam
29/08/2026

Mkesha wa Vijana na Mahusiano | Agosti 28, 2026 | Tag Mbande Christian Center -Dar es Salaam

Mkesha wa Vijana na Mahusiano | Agosti 28, 2026 | Tag Mbande Christian Center -Dar es Salaam
29/08/2026

Mkesha wa Vijana na Mahusiano | Agosti 28, 2026 | Tag Mbande Christian Center -Dar es Salaam

Hallelujah!Idara ya vijana Mbande Christian Centre inawakaribisha vijana wote kwenye Mkesha wa Vijana na Mahusiano. Utak...
27/08/2026

Hallelujah!

Idara ya vijana Mbande Christian Centre inawakaribisha vijana wote kwenye Mkesha wa Vijana na Mahusiano. Utakuwa usiku wa kipekee wa kujifunza, kuomba, na kujengwa katika masuala ya mahusiano.

β€‹πŸ“ Mahali: Mbande Christian Centre
⏰ Muda: 09:00 PM hadi 04:00 AM
πŸ—“οΈ Tarehe: 28 Agosti 2026

​Karibu sana, Mungu anakusubiri! Kwa maelezo zaidi piga: +255 683 275 574 πŸ“²

✨ IBADA YA JUMAPILI βœ¨πŸ“ Mahali: TAG Mbande Christian CentreπŸ“… Tarehe: August 23, 2026🎀 Mnenaji: Mch. Rev. Kisinga Ernest πŸ“–...
23/08/2026

✨ IBADA YA JUMAPILI ✨

πŸ“ Mahali: TAG Mbande Christian Centre
πŸ“… Tarehe: August 23, 2026
🎀 Mnenaji: Mch. Rev. Kisinga Ernest

πŸ“– UJUMBE: SIRI YA UAMSHO WA ROHO MTAKATIFU
πŸ“œ Isaya 6:1-8

-Ili uamsho wa moto wa Roho Mtakatifu utokee katika maisha / kanisa
a).Tunahitaji moyo wa unyenyekevu mbele za Mungu
b).Tunahitaji kujitakasa/ utakatifu
c).Kuishi juu ya mambo ya dunia (Kupaa juu)

-Isaya alimwona Bwana akiwa amezungukwa na masafarafi
a).Walikuwa na mabawa sita
-Mabawa mawili walifunika nyuso zao
-Mabawa mawili walifunika miguu yao
-Mabawa mawili waliruka

-Moyo wa unyenyekevu; kufanya kila kitu kwa ajili ya utukufu wa Mungu
a)Mungu aonekane sisi wewe (kufunika uso wako ili Bwana tu aonekane)
Fil 2:3; 1:20

-Nia ya kuishi maisha matakatifu/utakaso wa kila siku (miguu hukanyaga vitu vingi vichafu)
a)Roho Mtakatifu hukaamahali patakatifu
Yohana 13:10

-Kuishi juu ya mambo mabaya ya duniani (kupaa juu ya uovu)
a)Ishi maisha yanayo kutofautisha na kawaida ya ulimwengu huu
Efeso 2: 1-6
Eg. Kifaranga cha tai katikati ya vifaranga vya kuku

-Tukiishi katika viwango hivyo tutaouna moto mkubwa wa uamsho.
a)Katika maisha, ibada na huduma zetu
Isaya 6:6-8; Zaburi 104:4

-Tamani chukua hatua zote muhimu ili kusababisha uamsho mkubwa wa Roho Mtakatifu.

.
πŸ™πŸ”₯

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255762590117

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tag Mbande Christian Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share