29/06/2023
▪️Hatuokolewi kwa sababu tuna matendo mema,wala matendo mema sio surprise kwa Mungu sababu alituumbia hayo tangu mwanzo.
✍🏼WOKOVU NI KIPAWA,NI ZAWADI,TUNAOKOLEWA KWA NEEMA KWA KUKUBALI KAZI YA YESU MSALABANI.
☑️Matendo mema yana faida sana yakitokana na WOKOVU.
[8 Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; 9 wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.(Waefeso 2:8-9)]
.