Njoo kwa Yesu Kristo, Dar es Salaam, Tanzania

Njoo kwa Yesu Kristo, Dar es Salaam, Tanzania Jukumu letu ni kukusaidia kuwa karibu na Yesu Kristo kupitia Injili ambayo hubariki mtu binafsi na Familia.

11/04/2022

Je, ungependa kujifunza zaidi kuhusu Yesu Kristo kupitia Kitabu cha Mormoni?!
Tutumie ujumbe kujifunza zaidi na Wamisionari!📖

26/03/2022
"K**a vile mchungaji atafutavyo kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo z...
16/03/2022

"K**a vile mchungaji atafutavyo kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo zake waliotawanyika; ndivyo nitakavyowatafuta kondoo zangu; nami nitawaokoa katika mahali pote watapotawanyika katika siku ya mawingu na giza." Ezekieli 34:12
Tunawezaje kumfuata Mchungazi Wetu Yesu Kristo k**a Kondoo zake?

07/02/2022

Tunawezaje kutambua Nabii wa kweli? Ujumbe huu wa Urejesho wa Injili ya Yesu Kristo utajibu swali hilo.

26/01/2022

Anguka la Adamu na Hawa lilikuwa sehemu muhimu sana ya mpango wa Mungu. Tutumie ujumbe au tupigie simu kujifunza zaidi.

22/12/2021

Msikilize Paulo alivyokaribia Yesu Kristo na amebarikiwaje. Tutumie ujumbe kujua wamisionari karibu ya nyumbani kwako.

13/12/2021

K**a upo Dodoma na unatafuta kwa amani zaidi katika maisha yako, wasiliana na Wamisionari. Pia Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho liko Dar es Salaam, Arusha, Moshi, na Mwanza. Tutumie meseji kujua zaidi.

01/12/2021

Tunaweza kukaribia Yesu Kristo kupitia Kitabu cha Mormoni. Tutumie meseji ukitaka kujifunza zaidi kuhusu Kitabu cha Mormoni!

19/11/2021

Amini Mungu!

06/10/2021

Leo tuna ujumbe kuhusu manabii. Kutana na mshiriki mmoja wa kanisa anayeshuhudia kuhusu manabii na kazi yao. Ukitaka kujifunza zaidi unaweza kutumia ujumbe wako kwa WHATSAPP AU FACEBOOK yetu.

Address

Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njoo kwa Yesu Kristo, Dar es Salaam, Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share