Mungu Pamoja Nasi

Mungu Pamoja Nasi 1.Ibada za maombi,2.Mafundisho ya Biblia 3.Ibada za kusifu na kuabudu 4.Mfungo na maombi 5.Kuwatembelea wahitaji ,yatima, wagonjwa, wazee, wafungwa nk.

ibada za kila siku , usiku Saa 3:00 online kupitia Google meet.

Sunday Service
26/07/2026

Sunday Service

Shalom mpendwa,Nakusalimu katika jina kuu la Yesu Kristo.Ni matumaini yangu unaendelea vema pamoja na familia yako.Kwa u...
18/07/2026

Shalom mpendwa,

Nakusalimu katika jina kuu la Yesu Kristo.
Ni matumaini yangu unaendelea vema pamoja na familia yako.

Kwa upendo mkubwa, ninakukaribisha kushiriki nasi katika ibada zetu zinazofanyika:

πŸ“ Mungu Pamoja Nasi – Angware Placeu, Sanene, Segerea, DSM

πŸ—“ Jumatano: Saa 10:30 Alasiri – 12:00 Jioni
πŸ—“ Jumamosi: Saa 9:00 Alasiri – 11:00 Jioni
πŸ—“ Jumapili: Saa 4:00 Asubuhi – 7:00 Mchana

Kwanini uje kushiriki nasi?

✨ Utajifunza Neno la Mungu kwa ufunuo na kumjua Kristo kwa undani zaidi.
✨ Utashuhudia nguvu na matendo ya Roho Mtakatifu kwa vitendo.
✨ Utajengwa kiroho na kuimarishwa katika kusudi la Mungu juu ya maisha yako.
✨ Kuna maombi, uponyaji, faraja, miujiza na ushindi dhidi ya kila aina ya mateso na vifungo.
✨ Utakuwa sehemu ya familia ya Mungu yenye upendo, ushirika na kujengana katika imani.

Kumbuka, Ukristo si hadithi wala dini ya maneno tu ni maisha yenye nguvu za Mungu zikifanya kazi ndani ya mwanadamu.

Roho anasema Njoo!

12/07/2026

Shalom mpendwa,Nakusalimu katika jina kuu la Yesu Kristo.Ni matumaini yangu unaendelea vema pamoja na familia yako.Kwa u...
03/07/2026

Shalom mpendwa,

Nakusalimu katika jina kuu la Yesu Kristo.
Ni matumaini yangu unaendelea vema pamoja na familia yako.

Kwa upendo mkubwa, ninakukaribisha kushiriki nasi katika ibada zetu zinazofanyika:

πŸ“ Mungu Pamoja Nasi – Angware Placeu, Sanene, Segerea, DSM

πŸ—“ Jumatano: Saa 10:30 Alasiri – 12:00 Jioni
πŸ—“ Jumamosi: Saa 9:00 Alasiri – 11:00 Jioni
πŸ—“ Jumapili: Saa 4:00 Asubuhi – 7:00 Mchana

Kwanini uje kushiriki nasi?

✨ Utajifunza Neno la Mungu kwa ufunuo na kumjua Kristo kwa undani zaidi.
✨ Utashuhudia nguvu na matendo ya Roho Mtakatifu kwa vitendo.
✨ Utajengwa kiroho na kuimarishwa katika kusudi la Mungu juu ya maisha yako.
✨ Kuna maombi, uponyaji, faraja, miujiza na ushindi dhidi ya kila aina ya mateso na vifungo.
✨ Utakuwa sehemu ya familia ya Mungu yenye upendo, ushirika na kujengana katika imani.

Kumbuka, Ukristo si hadithi wala dini ya maneno tu ni maisha yenye nguvu za Mungu zikifanya kazi ndani ya mwanadamu.

Roho anasema Njoo!

Address

Mungupamojanasi9@gmail. Com
Dar Es Salaam
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mungu Pamoja Nasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mungu Pamoja Nasi:

Shortcuts

Share