Yerusalem Adonai Miracle Church

Yerusalem Adonai Miracle Church Yerusalem Adonai Miracle Church, Located at Mwenge Dar Es Salaam, under Prophetess Helen Chacha
https://zeno.fm/radio/yerusalem-mpya-fm/

20/01/2026

1 Wathesalonike 5:18
Kila jambo unapaswa kumwambia Mungu asante.
Kila changamoto unayokutana nayo sio mwisho wa maisha yako.
1 Mambo ya nyakati 29:10-12
Daudi alikuwa anapitia changamoto nyingi lakini aliendelea kumhimidi Mungu.
Kumshukuru Mungu kwa kila jambo maana utamuona katika kila jambo. kila unachopitia Mungu ameruhusu kwa maana yote kwa yote ni yake.

Danieli 2:23
Danieli alimshukuru Mungu kwa Hekima na uwezo.
Mungu anapendezwa sana na shukrani zetu.
Mungu anaruhusu mabaya yatokee ili tujue kumtafuta.

Zaburi 103:1-5
Mungu atakurejeshea vyote vilivyo potea.
Kila kitu unachopitia uantakiwa kujifunza na kutafakari umekosea wapi.

1 Wakorintho 1:4-5
Imetupasa kumshuru Mungu kwa maana ni kwa neema tu.
Hakuna aliyetajirika bila kupitia changamoto.
Usiwe mtu wa kukiri udhaifu kwa kuwa Mungu anajambo jipya juu ya maisha yako.
Mungu yupo teyari kubadilisha maisha yako. Usipende faida tu, penda hasara wala usipende kupokea tu penda na kutoa.

Wakolosai 3: 15, wafilipi 4:6,11-12
Mapito yakiwa magumu ujue kuwa mazuri yanakuja.
Kila jambo limeruhusiwa na sio mwisho wako, kwa maana kila jambo ni nyakati za Mungu.

Wafilipi 2: 14-15
Tutende mambo ya Mungu bila manuniko wala mashindano.

20/01/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

13/01/2026

Zaburi 136

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo kwa kuwa fadhili zake ni za milele.

Happy new year
02/01/2026

Happy new year

Mkesha wa Mwaka Mpya 2026Karibuni nyote kushiriki Mkesha wa Mwaka Mpya 2026.Muda: Kuanzia saa tatu (3:00) usikuKutakuwa ...
28/12/2025

Mkesha wa Mwaka Mpya 2026

Karibuni nyote kushiriki Mkesha wa Mwaka Mpya 2026.

Muda: Kuanzia saa tatu (3:00) usiku
Kutakuwa na: maombi, kula pamoja, kusifu na kuabudu

Mahali: Kanisa linapatikana Mwenge, mkabala na uwaja wa KMC.

Karibu sana tuingie mwaka mpya katika uwepo wa Mungu.

05/10/2025

KUONDOA ROHO YA HOFU KWA WATANZANIA
Nabii Helen social accounts
/ prophetess_helenchacha
/
/ nabiihelenchacha

Contacts (Mawasiliano na maombi ): +255 697 373 146
Offerings (Sadaka): 58275189 (HELEN .T. CHACHA)

Kwa taarifa zaidi Tembelea tovuti yetu
https://yerusalemchurch.lovable.app/

01/10/2025

Neno juu ya Tabia njema kutoka kwa Nabii helen chacha, Nabii Helen social accounts
/ prophetess_helenchacha
/
/ nabiihelenchacha

Contacts (Mawasiliano na maombi ): +255 697 373 146
Offerings (Sadaka): 58275189 (HELEN .T. CHACHA)

Kwa taarifa zaidi Tembelea tovuti yetu
https://yerusalemchurch.lovable.app/

Address

Mwenge Near KMC Stadium
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 06:00 - 18:00
Tuesday 06:00 - 18:00
Wednesday 06:00 - 18:00
Thursday 06:00 - 18:00
Friday 06:00 - 18:00
Saturday 06:00 - 18:00
Sunday 06:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yerusalem Adonai Miracle Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Yerusalem Adonai Miracle Church:

Share