Sauti ya Uinjilisti

Sauti ya Uinjilisti Kwaya ya SAUTI YA UINJILISTI ya Kanisa la Kianglikana la Watakatifu Wote Temeke ilianzishwa mwaka 2000 kwa lengo la kutoa huduma ya injili kwa uimbaji.

Kuona ya kazi zetu bofya kiunganishi hapa chini
https://youtube.com/channel/UCrx-GVIuIpJuahAw-HpL5EA

20/02/2026
Agnes Ngereza, Mwimbaji wa Kwaya Kuu ya Kanisa la Kianglikana la Watakatifu Wote Temeke ametwaliwa na Bwana leo tarehe 2...
27/10/2025

Agnes Ngereza, Mwimbaji wa Kwaya Kuu ya Kanisa la Kianglikana la Watakatifu Wote Temeke ametwaliwa na Bwana leo tarehe 27 Oktoba 2025

27/10/2025

Karibu kwenye Semina ya neno la Mungu kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi 2 Novemba 2025, Kanisa la Watakatifu Wote Temeke Sudan

23:16-17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)“Utaadhimisha Sikukuu ya Mavuno kwa malimbuko ya mazao yako uliyopanda katika shamb...
31/08/2024

23:16-17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)“Utaadhimisha Sikukuu ya Mavuno kwa malimbuko ya mazao yako uliyopanda katika shamba lako. “Utaadhimisha Sikukuu ya Kukusanya mavuno mwishoni mwa mwaka, unapokusanya mavuno yako toka shambani. “Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakuja mbele za BWANA Mwenyezi.

Bwana Yesu asifiwe🙏🙏. Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea ibada ya sikukuu ya mavuno (01/09/2024)🤗 kwa neema ya MUNGU uo...
11/08/2024

Bwana Yesu asifiwe🙏🙏.

Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea ibada ya sikukuu ya mavuno (01/09/2024)🤗 kwa neema ya MUNGU uongozi wa kanisa umeandaa mkesha mkubwa wa maombi na maombezi wazo kuu "USIKU WA NEEMA" 🥰🥰.

Mkesha huu utafanyika tar 23/08/2024 siku ya ijumaa,mtaa wa Watakatifu wote Temeke😊🙏. Kwaya mbalimbali na praise team watahudumu. Usipange kukosa mualike na mwingine 🙏🙏

📌SIKUKUU YA MAVUNO
📌TAR 01/09/2024
📌" _TULIPANDA KWA IMANI,TUNAVUNA KWA IMANI"🫧_

Bwana Yesu Apewe Sifa Wapendwa Ni Matumaini Yetu Unaendelea Vyema Kwakuwa Neema Ya Mungu Bado Ipo Pamoja NasiUongozi Wa ...
25/11/2023

Bwana Yesu Apewe Sifa Wapendwa Ni Matumaini Yetu Unaendelea Vyema Kwakuwa Neema Ya Mungu Bado Ipo Pamoja Nasi

Uongozi Wa Kanisa Unapenda Ku wakaribisha Waumini Wote Katika Misa Takatifu

Misa Ni Moja Itakayoanza Kuanzia Saa 01:00 Asubuhi

Ni Palepale Anglikana Watakatifu Wote Temeke

*Ikumbuke Siku Ya Bwana Uitakase Siku Sitafanya Kazi

Mkaribishe Ndugu Jamaa Na Rafiki Tuje Kusali Na Kupokea Neema Ipatikanayo Mahali Pale
kanisa.

kanisa

Mkesha Mkesha Mkesha wa Maombi na Maombezi...
22/06/2023

Mkesha Mkesha Mkesha wa Maombi na Maombezi...

Mkesha wa Kusifu na Kuabudu
01/12/2022

Mkesha wa Kusifu na Kuabudu

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 05:45 - 18:00
Wednesday 05:45 - 18:00
Thursday 05:45 - 18:00
Friday 05:45 - 18:00
Saturday 05:45 - 18:00
Sunday 05:45 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti ya Uinjilisti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sauti ya Uinjilisti:

Share