Discipleship Global ministry

Discipleship Global ministry Life of sonship

21/03/2026
16/03/2026

Katika Agano la kale sabato ilikua ni siku lakini katika Agano jipya sabato ni mtu ambaye ni Kristo

10/03/2026

Isaya 57:15
[15]Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.
TOBA:
Toba ni mlango unaoruhusu Mungu kushuka ktk maisha yako:_
kwanza ni wewe kumwambia matakwa ya moyo wako.
Ujue ya kwamba yeye meenyewe anakutetea
(i )Huyarangua mashauri ya wadanhanyifuAyubu 5:12
[12]Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu,
Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao.
(ii)Huwanasa watesi wakoAyubu 5:12-13
[12]Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu,
Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao.
He disappointeth the devices of the crafty, so that their hands cannot perform their enterprise.
[13]Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe;
Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka.

10/03/2026

Isaya 54:7
[7]Kwa kitambo kidogo nimekuacha; lakini kwa rehema nyingi nitakukusanya.
Mwambie Mungu kwa Toba asikuache hata kidogo.
Kwani maadui wako ni wengi sana.
Wataiparura nafsi yako ili uangamie.
Hebu wiki hii jitoe kwa toba

08/03/2026

God is good

08/03/2026

Mataifa makubwa yanawaza kutengeneza Silaha hatari za kuangamiza,wengine wanawaza kutafuta fedha na hawazipati.
Wengine wanawaza jinsi ya kuuneza ufalme wa Mungu duniani.
Na Dunia ndio hii inaharibiwa
Ee, Mungu tusaidie

08/03/2026

Usiwe tayari kutenda maneno ya kuisikia kwa watu kwani hakuna kweli katika maneno ya watu.
Kweli ipo katika Neno la Mungu.
Neno la Mungu ndicho chanzo cha mambo yote

Address

Kawe
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Discipleship Global ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share