Bethel Praise Team Mbezi Beach Lutheran Church

Bethel Praise Team Mbezi Beach Lutheran Church Spreading the word of God and Praising and worshiping God and leading people to praise and worship h

17/01/2026

Karibu Mtu wa Mungu KKKT Mbezi Beach , BETHEL Praise and worship Team Tunahudumu katika SEMINA MAOMBI NA KUFUNGA SIKU 40 tunayo ongozwa na neno Kutoka
Wakolosai: 1:12
Somo: „URITHI WETU KATIKA KRISTO“
🔥🔥

SOGEA Karibu Uendelee kubarikiwa Pamoja na ❤️🔥





#2026

Bethel Praise Team Mbezi Beach ‚ Tunakutakia Heri ya Mwaka Mpya Na Mkono wa Bwana wetu Yesu Kristo usikuache na Baraka Z...
01/01/2026

Bethel Praise Team Mbezi Beach ‚ Tunakutakia Heri ya Mwaka Mpya Na Mkono wa Bwana wetu Yesu Kristo usikuache na Baraka Zake Bwana Zikaambatane Nawe katika mwaka 2026.
🔥

Yes Ni Leo Ni Leo Ni LEOOO🔥🔥🔥Ibada Kubwaa Ya Kumsifu Mungu Kuabudu na MaombiTHE WORSHIP UNION SEASON 5, Itafanyika Leo P...
15/06/2025

Yes Ni Leo Ni Leo Ni LEOOO🔥🔥🔥
Ibada Kubwaa Ya Kumsifu Mungu Kuabudu na Maombi
THE WORSHIP UNION SEASON 5, Itafanyika Leo Pale Kuanzia saa 10 Alasiri mpaka Pale Saa Mbili Usiku..
MTU WA MUNGU, HII SI YA KUKOSA🔥🔥🔥🔥ipyana





Kesho Kesho KeshoNi Jumapili ya Kesho Tarehe 15/June kuanzia Mida ya Saa 10 Jioni mpaka saaa mbili Usiku.Mtu wa Mungu Us...
14/06/2025

Kesho Kesho Kesho

Ni Jumapili ya Kesho Tarehe 15/June
kuanzia Mida ya Saa 10 Jioni mpaka saaa mbili Usiku.
Mtu wa Mungu Usipange Kukosa Kabisa
Alika Pia Wapendwa Wako Wooote
Karibu Sana Sana
🔥🔥





Jumapili hii Jumapili hiii KKKT MBEZI BEACH TANK BOVU 🔥🔥🔥 Tunakwenda Kuwasha MotooKatika Hema Ya BWANA🔥🔥🔥UNAKOSAJE🤷🏻‍♀️?...
13/06/2025

Jumapili hii Jumapili hiii
KKKT MBEZI BEACH TANK BOVU 🔥🔥🔥
Tunakwenda Kuwasha Motoo
Katika Hema Ya BWANA🔥🔥🔥

UNAKOSAJE🤷🏻‍♀️?
WOTE MNAKARIBISHWA 🤝🔥



™️

Shaloom Shaloom Wana wa Mungu Alie Hai..Ni siku Nne tuu Zimebaki kufikia Ibada yetu Kuubwa Kabisa „THE WORSHIP UNION SEA...
11/06/2025

Shaloom Shaloom Wana wa Mungu Alie Hai..Ni siku Nne tuu Zimebaki kufikia Ibada yetu Kuubwa Kabisa „THE WORSHIP UNION SEASON 5“ JE, Umesha Alika Wangapi au kuwataarifu wangapi mpaka sasa Ili waje Tusifu na Kumuabudu Mungu Pamoja? Basi Hujachelewa..

Kwa mahitaji ya Tshirt ya Siku wasiliana na sisi.
Watu Woote Mnakaribishwa Hemani mwa BWANA.
Karibu sana.
🔥🔥



Karibu Katika Ibada ya THE WORSHIP UNION SEASON 5.Karibu Hemani mwa Bwana, ili tupate Muda wa kumsifu Mungu, Kumuabudu M...
08/06/2025

Karibu Katika Ibada ya THE WORSHIP UNION SEASON 5.
Karibu Hemani mwa Bwana, ili tupate Muda wa kumsifu Mungu, Kumuabudu Mungu Na Kuomba kwa Muda Mrefu Zaidi..,

Tutakuwepo Pamoja Kumsifu na Kumuabudu Mungu katika Roho na Kweli.
🔥🔥🔥




Shalom Shalom wana wa Kristo aliye Hai,✊🏻KARIBU katika IBADA kubwa ya Kusifu na kuabudu, ijulikanayo k**a THE WORSHIP UN...
08/06/2025

Shalom Shalom wana wa Kristo aliye Hai,✊🏻

KARIBU katika IBADA kubwa ya Kusifu na kuabudu, ijulikanayo k**a THE WORSHIP UNION S5. iliyoandaliwa na Umoja wa Vijana KKKT MBEZI BEACH. Ibada hii ni ya watu wote, Ambayo itafanyika Tarehe 15/6/25, siku ya Jumapili, Kuanzia Saa 10 Jioni Mpaka Saa 2 Usiku

Neno la Mwaka huu Linatoka katika Kitabu Cha Mambo ya Nyakati 4:10,
“Huyo Yabesi Akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibarikia kweli kweli, na kunizidishia hozi yangu, na mkono wako ungekuwa pamoja nami, nawe ungenilinda na uovu, ili usiwe kwa huzuni yangu! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.

Tunakukaribisha na Umkaribishe na Mwenzio ili Mje Pamoja Kumsifu Katika Hema La Sifa na Kuhudumiwa katika Kristo.

BWANA akubariki na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuelekeze uso wake na kukupa ama...
23/04/2025

BWANA akubariki na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuelekeze uso wake na kukupa amani.
HESABU 6:24-26

Tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa baba yetu, MUNGU akakufanyie amani na baraka katika maisha yako na familia yako pia k**a ulivyo baraka kwa wengine nuru yake ikakuangazie popote upitapo 🙏❤






Na katika siku hiyo mtasema, mshukuruni bwana liitieni jina lake;Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, litajeni jina...
27/03/2025

Na katika siku hiyo mtasema, mshukuruni bwana liitieni jina lake;
Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, litajeni jina kuwa limetukuka.
ISAYA 12: 4

Karibuni wote nyumbani mwa Bwana tushirikiane wote katika kumtukuzu na kumsifu yeye aliye mwenyezi na mamlaka yote, njoo tuungane na MASERAFI na MAKHERUBI katika kuritukuzu jina lake, katika kuliita jina lake juu ya kila jambo katika maisha yetu hata katika kutangaza matendo yake kwa watu wengine. Njoo tukafanye mataifa kuwa wanafunzi wake 🙏





🙏



Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja. Zaburi 133 : 1Wapendwa katika kristo, ijumaa hii...
21/03/2025

Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza,
Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Zaburi 133 : 1

Wapendwa katika kristo, ijumaa hii tutakuwa na muda mzuri wa kukaa ndani ya nyumba ya MUNGU ,kumsifu, kumwabudu na kusemezana nae juu ya kila jambo katika maisha yetu binasfi, njoo uungane nasi kumsifu na kutukuza jina lake mana maandiko yanasema "MUNGU anakaa katika sifa" basi kuanzia siku ya leo kupitia sifa hizi, Roho Mtakatifu akakae ndani ya na uzao wako wote.

Hakika, hatarudi k**a ulivyokuja, na MUNGU akubariki uingiapo na utokapo






Address

Mbezi Beach_Tangibovu
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bethel Praise Team Mbezi Beach Lutheran Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Bethel Praise Team Mbezi Beach Lutheran Church:

Share