Mbezi luis moravian church Live

Mbezi luis moravian church Live Tupo Mbezi Mwisho round-about ya kuelekea Goba, nyuma ya ofisi za Tanesco.

17/01/2025

BWANA YESU ASIFIWE!! Leo semina itaanza mapema saa 10: 00 na saa 11:00 mtumishi atasimama karibuni sana na Mungu awabariki

*MWANAKONDOO AMESHINDA*. ..Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo ka...
07/11/2023

*MWANAKONDOO AMESHINDA*. ..
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Isaya 43:2
*MUNGU ANAJUA PITO LAKO AKUTETEE*

26/09/2023

Sadaka ya mavuno inasemesha kati yako wew na mungu, ni njia au daraja ya kuunganisha mawasiliano na mungu iliazitakabali shida zako

18/09/2023
18/09/2023
Neno la shukrani kwa waumini wa kanisa la Moravian Mbezi Luis na wamedhehebu mengine wito kwao kuendelea kuachilia SADAK...
04/09/2023

Neno la shukrani kwa waumini wa kanisa la Moravian Mbezi Luis na wamedhehebu mengine wito kwao kuendelea kuachilia SADAKA kwa ajili ya ujenzi kutoka kwa MCH.T. MWANKENJA

Mpango ya ujenzi wa kanisa la Moravian Mbezi Luis baada ya Harambe ya robo ya tatu ya uchangiaji wa sadaka kwa ajili ya ...
04/09/2023

Mpango ya ujenzi wa kanisa la Moravian Mbezi Luis baada ya Harambe ya robo ya tatu ya uchangiaji wa sadaka kwa ajili ya ujenzi

Harambe ya ujenzi wa hekalu la bwana karibu ushiriki na kuvuna baraka za bwana kupitia kuachilia SADAKA
27/08/2023

Harambe ya ujenzi wa hekalu la bwana karibu ushiriki na kuvuna baraka za bwana kupitia kuachilia SADAKA

SIKUKUU YA KWAYA MBEZI LUIS MORAVIAN CHURCH
27/08/2023

SIKUKUU YA KWAYA MBEZI LUIS MORAVIAN CHURCH

Wito kwa wakristo, waislamu na wenye mapenzi mema na nchi ya Tanzania uliotolewa na MCh TIMOTH MWANKENJA katika siku maa...
23/08/2023

Wito kwa wakristo, waislamu na wenye mapenzi mema na nchi ya Tanzania uliotolewa na MCh TIMOTH MWANKENJA katika siku maalumu ya ibada ya kusifu kuabudu na maombezi

Katika ibada ya kusifu kuabudu na maombezi iliyofanyika katika kanisani la moravian mbezi Luis MCh T Mwankenja ametoa wito kwa serikali na viongozi wa kufany...

22/08/2023

Ilikuwa ni Ibada yenye upako na mwenyezi mungu alituonekanika katika ibada hii ya tar 20.08.2023 mbezi Luis Moravian Church

Send a message to learn more

Harambe tar 03/09/2023Ac CRDB 015046296620 MBEZI LUIS MORAVIAN CHURCHMpendwa mwana wa Mungu Bwana Yesu asifiwe kanisani ...
10/08/2023

Harambe tar 03/09/2023
Ac CRDB 015046296620 MBEZI LUIS MORAVIAN CHURCH

Mpendwa mwana wa Mungu Bwana Yesu asifiwe kanisani la Moravian Mbezi Luis kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha katika Harambe ya uchangiaji wa SADAKA kwa ajili ya ujenzi wa hekalu la bwana karibu ushiriki na kuvuna baraka za Bwana kupitia utoaji wa sadaka ya ujenzi.

Hagai anasema "ENENDENI MILIMANI MKAILETE MITI MUIJENGE NYUMBA YA BWANA NAMI NITAIFURAHIA".

Karibu mpendwa wa madhehebu yote yanayo mkiri bwana yesu kuwa bwana na mokozi wa maisha yao, ungana na was waumini wa kanisa la moravian mbezi Luis church ku...

Address

Mbezi Mwisho
Dar Es Salaam

Telephone

+255653300055

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbezi luis moravian church Live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share