Adonai Ministry

Adonai Ministry Huduma ya maombi na maombezi, kutawala na kumiliki Baraka zako.

30/07/2024
29/09/2023

TAMKA KUNA KUINUKA TENA.
AYUBU 22:29 Hapo watakapo kuangusha, utasema, Kuna kuinuka tena. Naye mnyenyekevu Mungu atamwokoa.

27/07/2023

Karibuni Sana Watumishi wa Bwana, katika ukurasa huu, hakika tutajifunza mengi sawasawa na Roho mtakatifu atakavyokuwa akiachilia mafunuo na Neno la Kristo. Mubarikiwe Sana.

HAKUNA JAMBO MUNGU ASILOLIWEZA: Neema, ya Mungu na mkono wake wenye Nguvu za kukuokoa na kukuponya ukae nawe siku zote z...
01/04/2023

HAKUNA JAMBO MUNGU ASILOLIWEZA:
Neema, ya Mungu na mkono wake wenye Nguvu za kukuokoa na kukuponya ukae nawe siku zote za maisha yako, kusudi lake likatimie juu yako, Haijalishi watesi wako wametengeneza vita gani, K**a kuhani ninae wakilisha ufalme wa Mbingu nikiwa duniani, nakutabiria kubomolewa kwa madhabahu zao wanazozitegemea in Jesus name, na wote mlio kwenye changamoto yeyote, nasema yeyote!!! Type au comment Amen na imekuwa kwa Jina la Yesu:

KARIBU KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI, UTAKAOFANYIKA KATIKA KANISA LA ADONAI PENTECOSTAL CHURCH. Walete wenye shida mba...
08/08/2022

KARIBU KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI, UTAKAOFANYIKA KATIKA KANISA LA ADONAI PENTECOSTAL CHURCH. Walete wenye shida mbalimbali na wagonjwa wataombewa, na Yesu mtenda miujiza atawaponya. Wahubiri kutoka ndani na nje ya nchi watahudumu, na kwaya mbalimbali zitakuwepo.

09/06/2022

KARIBU ADONAI MINISTRY KWA MAONI NA USHAURI KIROHO, PIA KWA HUDUMA YA INJILI, WAKATI WOTE TUMEENDELEA KUONA NEEMA YA BWANA IKITUHUDUMIA KUTOKA KWA WATUMISHI MBALIMBALI. You are welcome.

07/06/2022

UMEKUWA KIUMBE KIPYA:
2Koritho 5:17 Ukimpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako, kwa ukiri huo maana yake (umeokoka) na k**a umeokoka basi:- Umekuwa kiumbe kipya ya kale yamepita na sasa maisha yako yamekuwa mapya.

ulienda kwa waganga, kwa sasa Yesu ndiye mponyaji wako.
Ulikuwa mlevi, kwa sasa kiu ya ulevi haipo.
kila sketi ikipita mbele yako ilikuwa halali yako. Kwa sasa umetulia na ubavu wako.
ukipata mshahara hata wiki mbili hazifiki umekwisha. Kwa sasa wapigaji na chuma ulete hawapo, Mshahara unatunza vizuri na maendeleo yameanza kuonekana.

Huyu ndiye Yesu tunae mhubiri kila mahali, watu watoke kwenye taabu na kuingia kwenye raha, hapa duniani na Mbinguni pia.
BARIKIWA, Ushauri na maombezi +255733254199. Daniel Kajigili.

Address

Buguruni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Adonai Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share