Pentecoste Renewal Assembly

Pentecoste Renewal Assembly Pentecote Renewal Assembly ni kanisa la kiroho linalohubiri Neno la Mungu bila kulichanganya na sarakasi zozote yaani neno lisiloghooshiwa. Karibuni saana. Maw22

Tupo Tabata Segerea mtaa wa Ugombolwa.

Katika ubora wake wa ofisi aliyoajiriwa na Kristo Yesu mwenyewe. Bwana amemleta kwetu na neema mpya, mafuta mapya, nguvu...
01/02/2021

Katika ubora wake wa ofisi aliyoajiriwa na Kristo Yesu mwenyewe. Bwana amemleta kwetu na neema mpya, mafuta mapya, nguvu za Rohoni mpya na mafunuo ya viwango vipya kwa ajili ya mlipuko mkuu katika ufalme wa Mungu. weweeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂

01/02/2021

Tarehe 31.01.2021 ilikuwa ya baraka sana kwetu PRA Segerea baada ya baba yetu kusimamama madhabahuni kwa mara ya kwanza baada ya kuWa dhaifu kwa mwezi mmoja na nusu. Mungu mwema kaja na neema ya kiwango kipya ilikuwa ni furaha kuu kwetu. Watu tulilia machozi ya furaha kwa matendo makuu ya Mungu wetu. Haleluya kwa mfalme Yesu

28/01/2021

Mwaka 2021 tumeuona kwa kishindo k**a si Bwana aliyekuwa upande wetu PRA na tuseme sasa hakika Mungu amekuwa Ebeneza yaani BWANA HATA SASA AMETUSAIDIA. Haleluya

Hongereni mr and mrs Jonas Mungu ametenda kwenu
18/08/2020

Hongereni mr and mrs Jonas Mungu ametenda kwenu

18/08/2020

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada uonekanao tele wakati wa taabu

20/07/2020

Mungu wetu ni mwema ametutunza na kutupigania katika kila jambo hata sasa yeye kwetu ni Ebeneza ametusaidia

Askofu Mkuu wa makanisa ya PRA (PENTECOSTE RENEWAL ASSEMBLY) duniani. Ameitwa kuhubiri kweli ya Kristo bila woga
07/07/2020

Askofu Mkuu wa makanisa ya PRA (PENTECOSTE RENEWAL ASSEMBLY) duniani. Ameitwa kuhubiri kweli ya Kristo bila woga

JEWAI PRA SEGEREA. Mungu ni mwema wamependeza saaana kwa utukufu wa Mungu
07/07/2020

JEWAI PRA SEGEREA. Mungu ni mwema wamependeza saaana kwa utukufu wa Mungu

K**a kuna baba kuna mama pia wa watoto wengi 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
07/07/2020

K**a kuna baba kuna mama pia wa watoto wengi 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

Baba wa watoto wengi duniani kote kupitia Pentecoste Renewal  Assembly
07/07/2020

Baba wa watoto wengi duniani kote kupitia Pentecoste Renewal Assembly

Address

2908
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pentecoste Renewal Assembly posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share