Pastor PITA

Pastor PITA NAMI CHURCH
BAHARI BEACH, DAR ES SALAAM - TANZANIA
The full Gospel of our Lord and Saviour Jesus Chr

Hongera kwa kuwajali wenye mahitaji
06/04/2020

Hongera kwa kuwajali wenye mahitaji

30/09/2019
27/09/2019

MLISHANO HUENDA IKAWA NDIYO SABABU KUU YA KUPUNGUA KWA SAMAKI WADOGO WADOGO NA DAGAA KATIKA MAZIWA (LAKES), WATAFITI TUSAIDIENI
KWA ODA YA DAGAA WASILIANA NASI






SEAFOOD Tanzania ni zaidi ya mboga

Watsap & sms: +255765187132
Instagram: seafoodtanzania9
email: [email protected]
Kwa miadi: Mwananyamala -Kwa Kopa plot #

Nini Maoni yako
19/09/2019

Nini Maoni yako

DAGAA
NINI KIFANYIKE ILI KUONGEZA TIJA KATIBA BIASHARA YA MAZAO YA UVUVI? UUZAJI WA AINA HII HAUNA BUDI KUBADILISHWA. ILI KUFIKIA AZIMA HII TUNAHITAJI WAWEKEZAJI WA VIFUNGASHIO ILI KUPUNGUZA ATHARI YA VUMBI KWA WALAJI.
TUNAOMBA MAONI YAKO ILI TUBORESHE BIASHARA HII. PICHA KWA HISANI YA KARIBU NYASA-MBAMBA BAY.

K**A UNAHITAJI DAGAA SAFI NA WALIOHIFADIWA KATIKA VIWANGO VYA KIMATAIFA WEKA ODA YAKO KUPITIA.






SEAFOOD Tanzania ni zaidi ya mboga

Watsap & sms: +255765187132
Instagram: seafoodtanzania9
email: [email protected]
Kwa miadi: Mwananyamala -Kwa Kopa plot #

12/09/2019

DAGAA NI SULUHISHO LA BAJETI,
wachumi husema ''tumia kadiri ya maingizo''
Ewe mwanamke na Mabachela mkiona bajeti zenu za mboga hazikidhi mahitaji ya familia, kamwe msihangaike au kuwa na mawazo juu ya mlo wa siku. SEA FOOD Tanzania tupo kwa ajili yenu.
ukikweli ni kuwa dagaa hawahitaji pesa kubwa, mathalani ili ukamilisha mlo kwa familia ya watu watano unaweza kununua kwetu dagaa pakti moja kwa SHILINGI elfu moja (1000/=) tu, na UKAONGEZA shilingi miatano (500/=) kwa ajili ya Nyanya (200/=), Kitunguu maji (100/=) Limao/ndimu (100/=) Pilipili nzima usiikate(100/=).

Bidhaa Zetu Zinasifika na wateja wetu katika wilaya ya Kinondoni, DSM. Kutokana na fursa ya VITAMBULISHO VYA MJASILIAMALI alivyotugawia Mh. Rais wa awamu ya tano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunaweza kukufikia popote ulipo nchini Tanzania.

Tunauza dagaa wa aina zote, pia tunawakaribisha partners ili tushirikiane.
Karibuni Nyote. Mteja kwanza.

wasiliana na Sea Food Tanzania24/7 KUPITIA
SIMU ya kiofisi - 0765187132
email: seafoodtanzania
Facebook: SEA FOOD Tanzania
Instagram: seafoodtanzania9

MKITI MTENDAJI, Sea Food Tanzania

Ni halisi na asili
08/09/2019

Ni halisi na asili

Imethibitishwa na wataalamu kuwa dagaa ni moja ya chakula chenye virutubisho vya madini ya chuma. Ni wachache sana wanaolitambua hili. wengi huzania ya kuwa dagaa ni chakula cha walala hoi. Jambo la kufurahisha ni kuwa kadiri watu wanavyotatizwa na upungufu wa damu na kuwa na mifupa mepesi ndipo huanza kutumia mlo huu k**a sehemu ya tiba.
Wahenga husema kinga ni bora kuliko tiba. Hili halina mjadala.
WATU WANAOPASWA KULA DAGAA KWA WINGI.
Watoto chini ya miaka mitano, wamama wajawazito pamoja na wazee.

Kutokana na faida hizo, k**a ungependa kupata dagaa kutoka kwetu.
wasiliana nasi kwa namba 0765187132 au andika SEAFOOD TANZANIA ktk instagram.
KARIBU SANA TUNAWEZA KUKUSOGEZEA BIDHAA POPOTE PALE ULIPO.

08/09/2019

Wale wote ambao wangependa kushirikiana nami wanaweza ku like page yenye jina langu. ASANTENI

Dagaa Nyasa, Mwanza, Kigoma, Nyama.....wanapatikana piga 0765187132
07/09/2019

Dagaa Nyasa, Mwanza, Kigoma, Nyama.....wanapatikana piga 0765187132

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255765187132

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor PITA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor PITA:

Share