Mahanaim Church of Tanzania

Mahanaim Church of Tanzania Mahanaim Church Of Tanzania
The Gate Of Heaven

📞 +255 754 283 590

Kanisa la Mahanaim Tanzania (Lango la Mbinguni) ni mahali penye uponyaji, maombi na maombezi, Kufunguliwa na miujiza.

Usipange kukosa ibadani Jumapili hii ya tarehe 22 kuanzia saa 2.30 asubuhi ibada ya Kwanza na saa 4.30 asubuhi ibada ya ...
21/09/2024

Usipange kukosa ibadani Jumapili hii ya tarehe 22 kuanzia saa 2.30 asubuhi ibada ya Kwanza na saa 4.30 asubuhi ibada ya pili — Mungu ameandaa ujumbe maalum kwa ajili yako!

Usije peke yako, tafadhali mwalike na rafiki yako na Mungu atakubariki!

Mahali ni Goba, njia panda ya Kinzudi.

Mawasiliano tupigie: 0754 243 590
----------------------------



Shalom! Karibu siku ya leo kwenye IBADA zetu za JUMAPILI.Tuna ibada mbili:◇ Ibada ya kwanza: 2.30 — 3.30 asb◇ Ibada ya p...
01/09/2024

Shalom! Karibu siku ya leo kwenye IBADA zetu za JUMAPILI.

Tuna ibada mbili:
◇ Ibada ya kwanza: 2.30 — 3.30 asb
◇ Ibada ya pili: 4.30 asb — 7.30 mch
â—‡ Mahali: Goba, njia panda ya Kinzudi.

Walete wagonjwa wote na wenye shida mbalimbali, Mch. kiongozi atawaombea na Yesu atawaponya na kuwaweka huru kabisa!!

Tunakupenda na kukuombea, MUNGU akubariki sana!!! Usipange kukosa ibadani, kuna muujiza wako!
----------------------------


01/09/2024

SIMAMA kinyume na mashtaka ya adui ili utoke hapo! — Pst. Emmanuel
--------------------

Thanks be to God!!! — Tumeumaliza mwezi August salama na sasa tunaingia mwezi September; Hii haitokani na nguvu zetu na ...
31/08/2024

Thanks be to God!!! — Tumeumaliza mwezi August salama na sasa tunaingia mwezi September; Hii haitokani na nguvu zetu na wala sio kwamba tumemtenda Mungu wetu vyema, hapana ila ni kwa sababu ya NEEMA yake kuu mno ipitayo neema zote!!

Ungana nasi Jumapili hii katika Ibada zetu:

Tuna ibada mbili Tu
• Ibada ya Kwanza 2.30 asubuhi
• Ibada ya Pili 4.30 asubuhi

Mahali ni Kanisa la Mahanaim, Goba Njia panda ya kinzudi.

Karibu tuabudu pamoja na kuusherekea wema wa Mungu na uaminifu wake kwa kutuwezesha kuingia robo ya mwisho wa mwaka 2024.
————————————

Kiupekee kabisa, tunapenda kuchukua fursa hii kukukaribisha wewe unayesoma ujumbe huu katika Ibada yetu maalumu ya shukr...
24/08/2024

Kiupekee kabisa, tunapenda kuchukua fursa hii kukukaribisha wewe unayesoma ujumbe huu katika Ibada yetu maalumu ya shukrani ya mwisho wa mwezi — August 25, 2024

Hatuna budi kukusanyika pamoja kaka kanisa na kumrudishia Mungu wetu SHUKRANI kwa kutupa neema ya mwezi huu tukiwa wazima — Hii itakua ni jumapili ya tofauti kabisa Kwa kila mmoja wetu tena yenye matendo makuu, Bwana yupo tayari kulihudumia kusanyiko lake na ameandaa NENO la ushindi kwa ajili yako!

Usipange kukosa mwalike na rafiki yako na Mungu atakubariki

Mahali: Goba, Njia Panda ya Kinzudi

Mawasiliano tupigie Kwa namna zilizo kwenye tangazo
--------------------


24/08/2024

UCHAGUZI ni wako! — Pst. Christopher Robert
--------------------


Katika Ibada yetu ya Jumapili Utukufu wa Mungu ulishuka Hemani mwa BWANA kwa namna ya tofauti sana na tukapokea mahudumi...
24/08/2024

Katika Ibada yetu ya Jumapili Utukufu wa Mungu ulishuka Hemani mwa BWANA kwa namna ya tofauti sana na tukapokea mahudumio ya Mbingu kupitia Roho wa Mungu Lakini sio hivyo tu ila pia tulipokea Mafundisho ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi ya Kufunguliwa kwa watu wote kupitia Baba yetu Mchungaji Christopher Robert!

Karibu tena uabudu nasi Jumapili hii ya tarehe 25 August ili uendelee kula na kunywa maji ya uzima kupitia Neno lake litakalokuhuisha na kukufanya kwa upya kabisa.

Tuna ibada mbili:
◇ Ibada ya kwanza: 2.30 — 3.30 asb
◇ Ibada ya pili: 4.30 asb — 7.30 mch
â—‡ Mahali: Goba, njia panda ya Kinzudi.

Walete wagonjwa wote na wenye shida mbalimbali, Mch. kiongozi atawaombea na Yesu atawaponya na kuwaweka huru kabisa!!

Tunakupenda na kukuombea, MUNGU akubariki sana!!! Usipange kukosa ibadani, kuna muujiza wako!
----------------------------


20/08/2024

Hizi ni nyakati za hatari mno kuliko nyakati nyingine zozote zile, UWE MAKINI! — Pst. Christopher Robert
--------------------


20/08/2024

Kwenye Ibada yetu ya Jumapili, tulibarikiwa sana kuona so many familiar faces and new ones. Tukiachilia mbali kusifu & kuabudu lakini pia tulipata wasaa mzuri wa kusikiliza neno la uzima toka Mungu kupitia kinywa cha mpakwa mafuta wake Mch. Christopher Robert na alitufundisha kwa habari ya kutii na kuamua kuisikia sauti ya Mungu maana kwa kufanya hivyo ndipo zile BARAKA zilizoamriwa kwetu tokea kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu zitakapotujilia!

We'd love to see you again next Sunday — Remind you kuwa tuna Ibada mbili tu; Ibada ya kwanza saa 2.30 asubuhi na Ibada ya Pili ni saa 4.30 asubuhi

Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hii: 0754 243 590

Karibu!
--------------------


20/08/2024

Kuugusa UTUKUFU wa Mungu, unatafuta ugomvi na MUNGU! — Pst. Christopher Robert
--------------------


18/08/2024

Ukiwa na NENO la MUNGU, hakuna wa kukudhuru! — Mch. Christopher Robert
--------------------


Address

Goba, Njia Panda Ya Kinzudi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mahanaim Church of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mahanaim Church of Tanzania:

Share