Kwaya ya Mt.Dominic Savio Kimara Baruti

Kwaya ya Mt.Dominic Savio Kimara Baruti Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kwaya ya Mt.Dominic Savio Kimara Baruti, Catholic Church, Dar es Salaam.

Tulikupenda  lakini Mungu baba amekupenda zaidi nasi hatuna budi kusema kwaheri dada   Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako m...
21/03/2023

Tulikupenda lakini Mungu baba amekupenda zaidi nasi hatuna budi kusema kwaheri dada

Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako mahala pema peponi 🙏

Msifu Na kumtukuza Bwana Ungali hai🙏    Sauti ya Nne🙌
06/02/2023

Msifu Na kumtukuza Bwana Ungali hai🙏
Sauti ya Nne🙌

Kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanafamilia wetu  10/11/2022 Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema na umtumkie yeye daima🙏 H...
11/11/2022

Kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanafamilia wetu 10/11/2022 Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema na umtumkie yeye daima🙏

Happy birthday to you 🥳

Siku nyingine na muhimu kwa mwana familia mkongwe katika kwaya yetu  akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Kwaya na wanafa...
25/10/2022

Siku nyingine na muhimu kwa mwana familia mkongwe katika kwaya yetu akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Kwaya na wanafamilia tunatambua mchango wako wa dhati Mungu baba azidi kukupa afya njema na baraka katika maisha yako. 🙏

HAPPY BIRTHDAY TO YOU 🤗

Tabasamu la Wana Wa Mungu Wakitoka Katika Kuhudumu Misa Ya Ndoa Leo Jumamosi🤗
22/10/2022

Tabasamu la Wana Wa Mungu Wakitoka Katika Kuhudumu Misa Ya Ndoa Leo Jumamosi🤗

Leo ni siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Kwanafamilia Kwenzetu Dada Evamtei. Mwenyezi Mungu Azidi Kukujalia Afya Njema U...
19/10/2022

Leo ni siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Kwanafamilia Kwenzetu Dada Evamtei. Mwenyezi Mungu Azidi Kukujalia Afya Njema Uzidi Kumtumikia Yeye Daima 🙏

HAPPY BIRTHDAY TO YOU EVA🥳

Leo ni siku ya Kumbukumbu ya kuzaliwa mwana familia wetu dada WinnieHappy birthday to you 🎂🎂
22/09/2022

Leo ni siku ya Kumbukumbu ya kuzaliwa mwana familia wetu dada Winnie
Happy birthday to you 🎂🎂

Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa kiongozi,mwana familia,Muweka hazina wetu.Mungu azidi kukujalia mema maishani ...
24/08/2022

Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa kiongozi,mwana familia,Muweka hazina wetu.

Mungu azidi kukujalia mema maishani mwako happy birthday to you

26/06/2022

Sina neno mimi, sina neno la kusema, umetenda wema mpaka unanishangaza, nashukuru Bwana Asante🙏

Picha ni baada ya misa na katika siku yetu nzuri ya kuadhimisha na kumkumbuka Mt: Dominic Savio somo yetu. Tulipata nafa...
26/06/2022

Picha ni baada ya misa na katika siku yetu nzuri ya kuadhimisha na kumkumbuka Mt: Dominic Savio somo yetu.

Tulipata nafasi ya kupiga picha na baba yetu mpendwa na msimamizi wa parokia ya Baruti Fr.Limo 🤗

15/06/2022

Ni muendelezo wa matukio ya Tamasha 🥰

13/06/2022

Baadhi yaatukio katika Tamasha 🤗

Address

Dar Es Salaam
16104

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwaya ya Mt.Dominic Savio Kimara Baruti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kwaya ya Mt.Dominic Savio Kimara Baruti:

Share