OKOTA AID Tanzania LTD

OKOTA AID Tanzania LTD ELIAS MINISTRY CENTRE {EMC}

Tunafundisha Neno la MUNGU, Maombi na Maombezi. Karibuni sana

NAFASI ZA KAZIKampuni ya Airtel Tanzania inapenda kuwatangazia vijana nafasi ya kazi ya kusambaza na kusajili  laini za ...
03/08/2022

NAFASI ZA KAZI

Kampuni ya Airtel Tanzania inapenda kuwatangazia vijana nafasi ya kazi ya kusambaza na kusajili laini za Airtel kwa mfumo wa alama za vidole.

SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe anajua kusoma na kuandika
2. Awe na umri miaka 18 na kuendelea
3. Aje na barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa

WANAOTOKEA MIKOANI NAFASI ZIPO

OFISI ZIPO (KITUO) MBEZI MWISHO round about ya Goba

MAFUNZO YATATOLEWA KWA WATAKAOKIDHI VIGEZO..

MAWASILIANO ZAIDI: PIGA |SMS |WHATSAPP
0789858381

Njooni Tumuombe Mungu pamoja nitext WhatsApp 0789858381 MUNGU ANAJIBU MAOMBI
30/12/2021

Njooni Tumuombe Mungu pamoja nitext WhatsApp 0789858381 MUNGU ANAJIBU MAOMBI

07/12/2020

NAFASI ZA KAZI

Kampuni ya Airtel Tanzania inapenda kuwatangazia vijana nafasi ya kazi ya kusambaza na kusajili laini za Airtel kwa mfumo wa alama za vidole.

SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe anajua kusoma na kuandika
2. Awe na umri miaka 18 na kuendelea
3. Aje na barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa

OFISI ZIPO KIMARA StopOver jirani na ofisi ya Serikali ya mtaa wa StopOver.

WAHI NAFASI NI CHACHE
MAFUNZO YATATOLEWA KWA WATAKAOKIDHI VIGEZO..

MAWASILIANO ZAIDI; PIGA
0789858381
0686737078

28/08/2020

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
(USAJILI WA LAINI)

Nahitaji vijana wakufanya nao kazi.. waliotayari karibuni tujenge TAIFA..
0765795364
0789858381

Address

Mbezi LUGURUNI
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OKOTA AID Tanzania LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to OKOTA AID Tanzania LTD:

Share

Category