KKKT WAZO HILL -DMP

KKKT WAZO HILL -DMP PROVISION OF EVANGELICAL SERVICES OF PREACHING THE GOSPEL OF OUR LORD JESUS CHRIST

IBADA YA JUMATATU YA PASAKA KICHWA CHA SOMO YESU MFUFUKA KAA PAMOJA NASI πŸ“– LUKA. 24:36-43       ISAYA 26:16-19
06/04/2026

IBADA YA JUMATATU YA PASAKA

KICHWA CHA SOMO
YESU MFUFUKA KAA PAMOJA NASI
πŸ“– LUKA. 24:36-43
ISAYA 26:16-19

IBADA YA JUMATATU YA PASAKA 06 APRIL 2026.YESU MFUFUKA KAA PAMOJA NASI. πŸ“– LUKA 24: 36-43       Isaya 26: 16-19
06/04/2026

IBADA YA JUMATATU YA PASAKA 06 APRIL 2026.

YESU MFUFUKA KAA PAMOJA NASI.
πŸ“– LUKA 24: 36-43
Isaya 26: 16-19

IBADA YA JUMATATU YA PASAKA-06/04/2026. YESU MFUFUKA KAA PAMOJA NASIπŸ™πŸ½.
06/04/2026

IBADA YA JUMATATU YA PASAKA-06/04/2026. YESU MFUFUKA KAA PAMOJA NASIπŸ™πŸ½.

*RATIBA ZA IBADA - WIKI TAKATIFU*_Bwana wetu Yesu Kristo Apewe Sifa!_*Mchungaji Kiongozi Herman Kiporoza* pamoja na *Mch...
31/03/2026

*RATIBA ZA IBADA - WIKI TAKATIFU*

_Bwana wetu Yesu Kristo Apewe Sifa!_

*Mchungaji Kiongozi Herman Kiporoza* pamoja na *Mchungaji Mwenza Upendo Mushi* wanapenda kuwakaribisha watu wote kwenye Ibada zote zilizoandaliwa majira haya maalumu ya Pasaka.

Mpendwa unaombwa ukiona ujumbe huu umshirikishe na mwenzio.

Wachungaji wanapenda kuwatakia Maandalizi mema kuelekea Sikukuu hizi za Pasaka.

*KWA MAOMBI NA USHAURI;*
1. *Mch. Herman Kiporoza,*
Mchungaji Kiongozi,
*0653 659 110*

2. *Mch. Upendo Mushi,*
Mchungaji Mwenza,
*0658 880 114*

*Imetolewa na*
_Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)_
_KKKT DMP Usharika wa Wazo Hill_

MKESHA MEKSHA MKESHA Mchungaji Kiongozi Herman Kiporoza anapenda kuwakaribisha watu wote kwenye MKESHA WA MAOMBI utakaof...
23/03/2026

MKESHA MEKSHA MKESHA

Mchungaji Kiongozi Herman Kiporoza anapenda kuwakaribisha watu wote kwenye MKESHA WA MAOMBI utakaofanyika siku ya Ijumaa 27.03.2026 hapa Usharika wa Wazo Hill.

Ukiona ujumbe huu mtaarifu na Mwenzio.

USIKOSE!

Imetolewa na;
Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
KKKT - DMP Usharika wa Wazo Hill

πŸ”΄ MAOMBI YA WATOTO DUNIA NZIMA NGAZI YA DAYOSIS yatafanyika kesho tarehe 22 March 2026 (Jumapili) katika kila Sharika/Mt...
21/03/2026

πŸ”΄ MAOMBI YA WATOTO DUNIA NZIMA NGAZI YA DAYOSIS yatafanyika kesho tarehe 22 March 2026 (Jumapili) katika kila Sharika/Mtaa na utoaji wa sadaka kwaajili ya watoto wenye uhitaji maalumu (UDIAKONI)

14/03/2026

MUNGU ANANJIA ZAKE

_πŸ—“οΈ 01.02.2026 (Jumapili)__πŸ“KKKT Usharika wa Wazo Hill_*Mchungaji Kiongozi Herman Kiporoza* akiwa na *Viongozi wa Vijana...
02/02/2026

_πŸ—“οΈ 01.02.2026 (Jumapili)_
_πŸ“KKKT Usharika wa Wazo Hill_

*Mchungaji Kiongozi Herman Kiporoza* akiwa na *Viongozi wa Vijana Usharika wa Wazo Hill* pamoja na *Kwaya ya Vijana* walipiga picha ya pamoja baada ya vijana hao kutoa *SADAKA YA KUFUNGU LA KUMI* kutoka kwenye mradi wao wa *MEZA YA VITABU VYA MUNGU.*

Mchungaji Kiongozi alisema ni jambo jema vijana *kukumbuka na kutoa sehemu ya 10%* kwasababu Baraka za Mungu ndozilipo hapo, na ubariki mradi huu ukastawi na kukua ukimpendeza Mungu.

_

*Imetolewa na;*
_Kamati ya Habari na Mawasiliano_
_Idara ya Umoja wa Vijana_
_KKKT Usharika wa Wazo Hill_

28/01/2026

*TANGAZO 1:*

Idara ya Umoja wa Vijana wa KKKT WAZO HILL kupitia *Kamati yake ya Miradi ya Maendeleo* inapenda kuwakumbusha na kuwakaribisha kwenye *Meza ya Vitabu*. Karibu ujipatie na *piga namba hii 0769 424 286 (Daniel Emmanuel)* kuulizia au kuweka oda za vitabu vya Bwana.

*Kauli Mbiu;*
_"Soma Neno, Jenga Maisha."_

*TANGAZO 2:*

Idara ya Umoja wa Vijana wa *KKKT Wazo Hill* inapenda kukukaribisha wewe Vijana kwenye siku ya *USAFI DAY tarehe 31 Jan 2026 (Jumamosi)* hapa Usharikani Wazo Hill kuanzia saa 12:00 alfajiri mpaka saa 04:00 asubuhi.

*USIKOSE ! ! !*

*Kauli Mbiu;*
_"Vijana na Usafi - Jambo letu, Nguvu zetu, Baraka Zetu."_

*Imetolewa na;*
_Kamati ya Habari na Mawasiliano_
_Idara ya Umoja wa Vijana_
_KKKT - DMP Usharika wa Wazo Hill_

25/12/2025

*TANGAZO:*

Idara ya Umoja wa Vijana wa KKKT WAZO HILL kupitia *Kamati yake ya Miradi ya Maendeleo* inapenda kuwakumbusha na kuwakaribisha kwenye *Meza ya Vitabu*. Karibu ujipatie na *piga namba hii 0769 424 286 (Daniel Emmanuel)* kuulizia au kuweka oda za vitabu vya Bwana.

*Kauli mbiu;*
_"Soma Neno, Jenga Maisha."_

*Imetolewa na;*
_Kamati ya Habari na Mawasiliano_
_Idara ya Umoja wa Vijana_
_KKKT - DMP Usharika wa Wazo Hill_

09/12/2025

*TANGAZO 2:*

*Meza ya Vitabu* vya Bwana imewaletea *NOVEL* za Kusoma kwaajili ya kuweka kwenye *Library (Maktaba)* huku manyumbani au kwaajili ya kujisomea ilikujiongezea maarifa. Karibu ujipatie na *piga namba hii 0769 424 286 (Daniel Emmanuel)* kuulizia au kuweka oda za vitabu vya Bwana.

*Kauli mbiu;*
_"Soma Neno, Jenga Maisha."_

*Imetolewa na;*
_Kamati ya Habari na Mawasiliano_
_Idara ya Umoja wa Vijana_
_KKKT - DMP Usharika wa Wazo Hill_

Address

Wazo Hill
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 06:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT WAZO HILL -DMP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KKKT WAZO HILL -DMP:

Share