Prophet Majani

Prophet Majani Failure is unforgivable.

16/11/2024
GOD'S TIME
27/06/2024

GOD'S TIME

JUMAPILI IJAYO TUTAWEKA WAKFU FAMILIA, VIPAWA NA KARAMA ZETU, IBADA ITAANZA SAA SABA MCHANA #
24/06/2024

JUMAPILI IJAYO TUTAWEKA WAKFU FAMILIA, VIPAWA NA KARAMA ZETU,
IBADA ITAANZA SAA SABA MCHANA #

15/11/2023

KUANZIA TAR 27 MWEZI HUU FUNGA NA KUOMBA ILI KUMILIKI YOTE KWA IMANI 2024, PIA MSHUKURU MUNGU KWA UKARIMU WAKE ALIYOKUTENDEA 2023.

WELCOME MY FUTURE
04/06/2023

WELCOME MY FUTURE

1) KUZIDI KUTENDA MEMA NI DAWA YA UBAYA ENDELEVU.2) KUSAMEHE NI KUSAMEHEWA UKIOMBA UJIBIWE.3) KUSAMEHE NI KUONGEZA KINGA...
04/02/2023

1) KUZIDI KUTENDA MEMA NI DAWA YA UBAYA ENDELEVU.
2) KUSAMEHE NI KUSAMEHEWA UKIOMBA UJIBIWE.
3) KUSAMEHE NI KUONGEZA KINGA YA KUISHI.
4) KUSAMEHE NI KUPONYA WENGINE ILI UJIPONYE NAFSI YAKO.
Ni sehemu ya mafundisho na mafunuo ya majibu ya wengi kutoka kwa Mungu kupitia kitabu ninachokiandika kiitwacho YANGU # baada ya wale uliowapenda, kawatumikia kwa moyo wote na ukawapa kila ulichokuanacho kwa upendo na ukajiachia kwao lakini baadaye wakakulipa ubaya juu ya ubaya mara kumi elfu ya vile ulivyo wafanyia.

HE IS THE SOLUTIONS MAKER AND THE GOD OF NOW ON HIS TIME. Acha kulia au kumulaumu isipokuwa yatambua majira na nyakati z...
02/02/2023

HE IS THE SOLUTIONS MAKER AND THE GOD OF NOW ON HIS TIME. Acha kulia au kumulaumu isipokuwa yatambua majira na nyakati zake kwako.

BE A SPIRIT TO SERVE & WORSHIP THE SPRIT. Utaweza  kuishi rohoni endpo utakubali kufanyika  muhudumu wa Roho na si wa an...
31/01/2023

BE A SPIRIT TO SERVE & WORSHIP THE SPRIT. Utaweza kuishi rohoni endpo utakubali kufanyika muhudumu wa Roho na si wa andiko na kuacha kuabudu Mungu ambaye ni Roho kamili kwa mazoea.

KUSHINDWA MARA KADHAA NI KUJIFUNZA KUSHINDA, Ukichoka pumzika, ukikosea anza upya.  # Kushindwa Hakusameheki #  N:b.Sio ...
19/01/2023

KUSHINDWA MARA KADHAA NI KUJIFUNZA KUSHINDA, Ukichoka pumzika, ukikosea anza upya. # Kushindwa Hakusameheki #
N:b.Sio vibaya kuhusiana na walio shindwa maana wengine ni ndugu zako lakini usiwe sehemu yao #

Address

Ubungo Riverside
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Majani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share