Covenant Church - Njia Ya Ushindi

Covenant Church - Njia Ya Ushindi KARIBU 👉 Covenant Church - Njia Ya Ushindi
🔶Mpende Mungu 🔶Wapende Wengine 🔶+255713172415

MISSION/UTUME WETU:
📖 Mathayo 28:19-20
Tunajiunga na Mungu katika Utume wa Mungu - Kumtukuza Mungu kwa kufanya Wanafunzi wa Yesu, na kuimarisha uhusiano wetu kwa kila mmoja na kushiriki na ulimwengu shauku yetu ya kumjua Yesu na kumfanya Yesu ajulikane. Kwa kuwa neema ya Mungu iko katika umbaji wote.
:
VISION/MAONO YETU & IMANI:
📖 1Wakoritho 15:57
Kristo Yesu ni Ushindi wetu kwa sababu ya kile Y

esu alifanya msalabani. Kumuona Mungu kupitia Kristo akimkomboa kila mmoja wetu kutoka katika utumwa wa dhambi.
:
TUNAAMINI Biblia kuwa Neno la Mungu - Muongozo katika maisha yetu, lisilokosea na lenye mamlaka
:
TUNAAMINI kwamba kuna Mungu mmoja, anayeishi milele katika nafsi 3:
Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.
:

19/04/2026

17/04/2026

11/04/2026

Sikiliza hii itakusaidia….

11/04/2026

11/04/2026

Tupo live na mahubiri yanaendelea muda huu; gusa link hapo chini
29/03/2026

Tupo live na mahubiri yanaendelea muda huu; gusa link hapo chini

KARIBU KANISA LA NJIA YA USHINDI KWENYE IBADA ZETU KILA IJUMAA SAA 11 JIONI NA JUMAPILI SAA 3 ASUBUHI | MAHALI:TUPO NJIA YA KUELEKEA MADALE WAZOHILI KONTENA ...

Unatufuatilia ukiwa wapi....tazama mubashara ibada zetu.                  ゚viralシfypシ゚
15/03/2026

Unatufuatilia ukiwa wapi....tazama mubashara ibada zetu.

゚viralシfypシ゚

KARIBU KANISA LA NJIA YA USHINDI KWENYE IBADA ZETU KILA IJUMAA SAA 11 JIONI NA JUMAPILI SAA 3 ASUBUHI | MAHALI:TUPO NJIA YA KUELEKEA MADALE WAZOHILI KONTENA ...

Tupo live muda huu karibu na utabarikiwa
01/03/2026

26/02/2026

💪🙏

Utabarikiwa ukiangalia hii.......
30/01/2026

Utabarikiwa ukiangalia hii.......

MKESHA - USIKU WA MOTO JUU YA MADHABAHU

Address

Tegeta Azania
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Covenant Church - Njia Ya Ushindi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Covenant Church - Njia Ya Ushindi:

Share

Category