Efatha Church Sayuni Pugu

Efatha Church Sayuni Pugu Healing and deliverance by the blood of JESUS

Ukimpenda Mungu utawapenda watumishi wa Mungu waliowekwa mbele yako ili kukuongoza
24/02/2026

Ukimpenda Mungu utawapenda watumishi wa Mungu waliowekwa mbele yako ili kukuongoza

24/02/2026

Mapokezi ya Mtume wa Kanda Suzan Mungy pamoja na Mchungaji Kiongozi Dr Eva Luwavi

23/02/2026

Zaburib122:1
“Nalifurahi waliponiambia, Twende nyumbani kwa Bwana.”

23/02/2026

UPONYAJI NA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU

09/02/2026

2 Nyakati 20:20b waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.

08/02/2026

IBADA YA JUMAPILI YA TAREHE 8/2/2026
KATIKA KANISA LA EFATHA SAYUNI PUGU

IBADA YA UKOMBOZI NA UPONYAJI KWA DAMU YA YESU

Wana wa Mungu tunawakaribisha katika ibada nzuri tarehe 8/12/2026  katika kanisa la Efatha Sayuni PuguNjoo ukutane na mk...
07/02/2026

Wana wa Mungu tunawakaribisha katika ibada nzuri tarehe 8/12/2026 katika kanisa la Efatha Sayuni Pugu
Njoo ukutane na mkono wa Bwana Karibu na rafiki yako Ameen.

Karibu katika ibada ya Jumapili ya tarehe 1/2/2025..Anza mwezi na Bwana
28/01/2026

Karibu katika ibada ya Jumapili ya tarehe 1/2/2025..Anza mwezi na Bwana

Karibu katika ibada ya Jumapili ya tarehe 25/2/2026 katika Kanisa la Efatha Pugu Sayuni
21/01/2026

Karibu katika ibada ya Jumapili ya tarehe 25/2/2026 katika Kanisa la Efatha Pugu Sayuni

Ni keshoKaribu sana Ibadani, usiache mtu nyumbani
17/01/2026

Ni kesho
Karibu sana Ibadani, usiache mtu nyumbani

Karibu katika ibada ya Jumapili hii tarehe 18/1/2026 alika na ndugu yako, rafiki yako, jirani yako
15/01/2026

Karibu katika ibada ya Jumapili hii tarehe 18/1/2026 alika na ndugu yako, rafiki yako, jirani yako

MCHUNGAJI ZEPHANIA CHIMBOSOMO: ASILI YA KANISAMungu mwenyewe ndiyo muhusika wa kanisaKanisa ni mtu sio jengoKanisa ni mk...
13/01/2026

MCHUNGAJI ZEPHANIA CHIMBO
SOMO: ASILI YA KANISA

Mungu mwenyewe ndiyo muhusika wa kanisa
Kanisa ni mtu sio jengo
Kanisa ni mkusanyiko wa watu Kwa nia ya kumwabudu Bwana

Matendo 2:1-3
Kanisa lilizaliwa na Roho Mtakatifu
1. Ili ukae katika kanisa kubali kufundishwa,
Kufundishwa kuna kupa Imani na Maarifa
Nje ya neno hakuna Maarifa

K**a kanisa unatakiwa kuyaona ambayo wengine hawayaoni, wengine wanapoona maji wewe ona njia wengine wanapoona dhoruba wewe ona Amani

2. Kanisa lilitembea katika usharika
-Upendo wa mtu na mtu
Usimtazame mtu Kwa ubaya
Katika udhaifu wa mtu ndipo nguvu ya Mungu inakaa

Address

Pugu Kajiungeni
Dar Es Salaam

Telephone

+255624979320

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Sayuni Pugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church Sayuni Pugu:

Share