tumeumbwakuabudu

tumeumbwakuabudu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from tumeumbwakuabudu, Religious organisation, Dar es Salaam.

Ni siku ya kesho tutakuwa pamoja pale TAG MAGOMENI kuanzia saa 3:30 Asubuhi hadi saa 9:00 Alasiri. USIKOSE!!!
27/11/2020

Ni siku ya kesho tutakuwa pamoja pale TAG MAGOMENI kuanzia saa 3:30 Asubuhi hadi saa 9:00 Alasiri. USIKOSE!!!

Shalom.!Kwa moyo wa ukunjufu kabisa, unaalikwa katika kongamano kubwa la kuabudu linalojulikana k**a "TUMEUMBWA KUABUDU"...
25/11/2020

Shalom.!
Kwa moyo wa ukunjufu kabisa, unaalikwa katika kongamano kubwa la kuabudu linalojulikana k**a "TUMEUMBWA KUABUDU" lenye lengo la kutoa ufahamu sahihi wa ki-Mungu juu ya kusudi kuu la uumbaji wa mwanadamu na nini Mungu anatamani kupata kutoka kwetu.

Ni tarehe 28 November 2020 katika kanisa la TAG Magomeni kuanzia saa 3:30 Asubuhi hadi saa 9:00 Alasiri, kangamano hili litaambatana na uzinduzi wa kitabu cha TUMEUMBWA KUABUDU. Watumishi wa Mungu mbalimbali wa kimataifa watakuwepo kufundisha na kuhudumu.
HAKUNA KIINGILIO, NJOO NA JIRANI YAKO!

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when tumeumbwakuabudu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share