ENCC Mji wa Bwana

ENCC Mji wa Bwana Wasiliana Nasi: 0652 789882, 0757 789883, 0686 058434

Mji wa Bwana: Mahala Mabaya Yasiporuhusiwa

05/09/2026

πŸ‘†Sikiliza kwa Makini sana Mpendwa kuna Jambo la kujifunza hapaπŸ™πŸ»

05/09/2026

πŸ‘†Tamani sana kujiepusha na Visasi vya Damu kwenye Maisha yako.

05/09/2026

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†Karibu sana ENCC Mji wa Bwana Mbezi kwa Msuguri, Mahala ambapo Mabaya hayaruhusiwi Kuharibu

02/09/2026
Shalom ! Shalom !Mwezi huu tunaanza kwa Mkesha, ijumaa usiku, tarehe 04. Tutakuwa tunamwabudu Bwana kwa dhabihu zetu kat...
02/09/2026

Shalom ! Shalom !
Mwezi huu tunaanza kwa Mkesha, ijumaa usiku, tarehe 04. Tutakuwa tunamwabudu Bwana kwa dhabihu zetu katika Meza ya Bwana na Dhabihu Zetu πŸ•ŠοΈπŸžπŸ·, jumapili tarehe 06, saa 3:00 asubuhi. Kisha kuliamuru tumbo la alfajiri la mwezi septemba katika Madhabahu ya Maombi πŸ™, jumatatu tarehe 07, saa 11:00 alfajiri.

πŸ“… Matukio Maalum Septemba:
πŸ“Œ 07–13 β€” Parish Visits: Chalinze & Lugoba
πŸ‘‘ 14–20 β€” Juma la The Caleb's
πŸ”₯ 21–27 β€” Juma la Kinabii
β€œKwa Ajili Yako Bwana Hatatulia, Wala Hatakaa Kimya (Isaya 62:1)"

Usisahau Ibada Zetu za Kila Wiki:
πŸ“– Ibada ya Ukombozi na Uponyaji β€” Kila Jumatano saa 10:30 jioni
β›ͺ Sunday Live Service β€” Kila Jumapili saa 3:00 asubuhi

Karibu tuabudu pamoja katika Mwaka wa Mdhihirisho wa Lango la Masihi. πŸ™ Karibu Mji wa Bwana: Mahala Mabaya Yasiporuhusiwa Kuharibu.

25/08/2026

Karibu katika juma la kiunabii, 24-30 Ago
✨ Na Huu Ndiyo Ukomo wa Baraka Inayoteleza Mikono✨
πŸ“– Andiko: Yohana 21:3
πŸ“ Mahali: ENCC – Mji wa Bwana, Mbezi kwa Msuguri
Ibada Zitakuwa:
πŸ“… Jumatano 26 – Ijumaa 28, saa 10:30 jioni
β›ͺ Jumamosi 29 na Jumapili 30, saa 3:00 asubuhi

Usipange kukosa hata siku moja, mkaribishe na mwingine!

22/08/2026

❀️ Wiki mbili baadaye... bado... ❀️ Ndoa Yangu Haiuzwi β€οΈπŸ™πŸΏ.

Address

Mbezi Kwa Msuguri
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ENCC Mji wa Bwana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share