Pastor Enock

Pastor Enock Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pastor Enock, Church, Dar es Salaam.

25/11/2025
2 Wakorintho 10:4 (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome5 tukiangush...
26/10/2025

2 Wakorintho 10:4 (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome
5 tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo

1 Petro 1:5Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho...
18/10/2025

1 Petro 1:5
Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho.
Endelea kumwamini Mungu.

Shaloom mtu wa Mungu tukutane hapa Mungu akubariki.
14/10/2025

Shaloom mtu wa Mungu tukutane hapa Mungu akubariki.

OMBI LANGU BWANA WANGU UWEPO WAKO YESU UWE NAMI.
07/10/2025

OMBI LANGU BWANA WANGU UWEPO WAKO YESU UWE NAMI.

KUTEMBEA NA NGUVU YA MUNGU NDANI YAKO.
05/10/2025

KUTEMBEA NA NGUVU YA MUNGU NDANI YAKO.

Shalom..Mungu ametupa neema ya kuamka salama napenda kukukaribisha katika ibada hii hapa TLN karibu na Mungu akubariki.
23/09/2025

Shalom..Mungu ametupa neema ya kuamka salama napenda kukukaribisha katika ibada hii hapa TLN karibu na Mungu akubariki.

Enock Chris Obadia
02/09/2025

Enock Chris Obadia

Karibu katika ibada hii ya ushindi, utamuona Mungu akitenda miujiza kwenye maisha yako Mungu akubariki.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255719658924

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Enock posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category