Maisha Halisi Ya Kikristo

Maisha Halisi Ya Kikristo Karibu Katika Ukurasa Tujifunze Kwa Pamoja Maisha Halisi Ya Kikriso. Zaburi 20:7 Utukufu wa Mungu hauwezi kuwa pamoja na dhambi.

Utakatifu wa Mungu ndio kipeo chetu cha kuishi maisha ya utakatifu imeandikwa 1 Petro 1:15 "Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote." imeandikwa Isaya 59:2 "Lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone hata hataki kusikia." Utakatifu ni kipawa cha neema ya Mungu. Imeandikwa Kutoka 19:5-6 "

Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kuishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu maana dunia yote pia ni mali yangu ninyi mtakuwa kwangu ufalme wa kuhani na taifa takatifu hayo ndiyo maneno utakayowaambia wana waisraeli." Utakatifu hukuwa kwa kuitii neno la Mungu. Imeandikwa Yohana 17:17 "Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli."

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha Halisi Ya Kikristo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share