Gateway to Heaven Church

Gateway to Heaven Church PAGE MAALUMU YA KANISA LA GATEWAY TO HEAVEN LILILOPO JIJINI DAR ES SAALAM TANZANIA, WILAYA YA KIGAMBONI KATA YA KIBADA.

KANISA HILI LILIANZISHWA MWAKA 2019 CHINI YA MAONO AMBAYO MUNGU ALIMPATIA MTUMISHI WA MUNGU PASTOR GIVEN D MUKENDI.

02/09/2026

πŸ™ KARIBU GATEWAY TO HEAVEN CHURCH πŸ™
Tunakukaribisha katika ibada yetu ya moja kwa moja. Tunaamini kwamba kupitia sifa, kuabudu, maombi na Neno la Mungu, maisha yako yataguswa na kubadilishwa kwa utukufu wa Mungu.
"Mbingu ikuletee amani, uponyaji, ukombozi na baraka tele."
πŸ“… RATIBA ZA IBADA
πŸ”Ή Jumatano Ibada ya Mafundisho ya Neno la Mungu πŸ•” Saa 11:00 Jioni – 1:00 Usiku
πŸ”Ή Ijumaa Saa Moja ya Maombi ya Maombezi πŸ•  Saa 11:30 Jioni – 12:30 Jioni
πŸ”Ή Jumapili Sunday School πŸ•£ Saa 2:30– 3:00 Asubuhi
πŸ”ΉIbada Kuu ya Sifa na Kuabudu πŸ•˜ Saa 3:00 Asubuhi – 6:00 Mchana
πŸ“ Mahali Kingamboni, Kibada Road, Mwasonga, Dar es Salaam, Tanzania.
πŸ“ž Mawasiliano +255 686 747 530
πŸ‘¨β€πŸ’Ό Mchungaji : Given MukendI
πŸ™πŸ”₯✨

24/08/2026
24/08/2026

SIKU 14 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

Address

KIBADA, Kigamboni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gateway to Heaven Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share