Tumaini Jipya Africa

Tumaini Jipya Africa Tunasaidia watu kupata tabasamu la kweli kwakumjua Yesu Kristo. Mk 16:15-18

11/12/2025

Celebrating my 5th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

20/11/2025

πŸ™

17/11/2025
16/11/2025
14/11/2025

Unaikumbuka hii?

07/11/2025

"Tunapaswa kutubu mbele za Mungu aonae sirini. Uwe wazi mbele za Mungu wako. UTUBU kwa kutokuomba. Kutokusimama kwenye nafasi."

03/02/2025

Viongozi wa dini ya Kikristo mkoani Dar es Salaam wametangaza maombi maalumu yatakayofanyika Februari 22, 2025, katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Maombi haya yatafanyika kwa ajili ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuiombea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), taifa ndugu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Serena, viongozi hao wamempongeza Rais Samia kwa uongozi wake wa hekima, kuendeleza miradi ya maendeleo, na kusimamia ustawi wa taifa. Aidha, wameeleza kuwa maombi haya pia yanahusisha kuiombea DRC amani, utulivu, na mafanikio katika maendeleo yake.

Tunakaribisha waumini wote na wananchi kwa ujumla kushiriki katika ibada hii maalumu. Tafadhali subscribe, like, na share ili kuwafikishia wengine ujumbe huu muhimu! πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡©

03/02/2025

Dar es Salaam – Viongozi wa dini ya Kikristo mkoani Dar es Salaam wametangaza maombi maalumu kwa ajili ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, yatakayofanyika Februari 22, 2025, katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Wakizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa vyombo vya habari uliofanyika katika hoteli ya Serena, viongozi hao walimpongeza Rais Samia kwa uongozi wake imara, hususan katika kuendeleza miradi ya maendeleo na kuanzisha mipango mipya inayolenga kuboresha maisha ya Watanzania.

Wamewataka Watanzania wote kuungana katika maombi hayo maalumu ili kumuombea Rais Samia afya njema, hekima na ujasiri wa kuliongoza taifa kwa amani na maendeleo.

Maombi hayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na waumini kutoka madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini.

01/10/2023

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Kirai ya Child Support Tanzania Noela Msuya akieleza namna taasisi yake inasaidia makundi ya watoto wenyeulemavu nchini.

Katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Viziwi dunia ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya. Maadhisho hayo ambayo yalianza kwa maandamano yaliyoanzia kituo cha daladala Kabwe na kisha kuhitimishwa katika viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya.

Maadhimisho hayo yamebebwa na kaulimbiu isemayo " Ulimwengu ambao Viziwi popote walipo wanaweza kutumia Lugha ya alama.
Mwandishi John Mwonga

Karibu Kutazama Wimbo Mpya
03/09/2023

Karibu Kutazama Wimbo Mpya

ijapo shida unazozipitiya kwasasa usikate tamaa muonyeshe Mungu shida zako zote kwamaana yeye alisema vitasivyetu bali vita nivyake yeye Mutumainiye yeye uta...

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumaini Jipya Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share