Lmtanzania

Lmtanzania A caring community passionate about connecting people to Jesus.

09/09/2026
Je umetosheka au kuridhika?,Alhamisi hii tutakua na Mwl Mwaisanila atakayefundisha jinsi ya kuhusu Roho Mtakatifu ⏰ Muda...
03/09/2026

Je umetosheka au kuridhika?,

Alhamisi hii tutakua na Mwl Mwaisanila atakayefundisha jinsi ya kuhusu Roho Mtakatifu

⏰ Muda: Saa 2:00 usiku (Nairobi)

Jisajili mapema:
https://staffweb.zoom.us/meeting/register/GA3pIotLSzOAaGSOwrxcTQ

Baada ya kujisajili, utapokea Email ya uthibitisho yenye maelekezo ya kujiunga na mkutano.

26/08/2026

Maswali ni mengi, Nawezaje kuweka imani yangu katika matendo? Maana imani bila matendo imekufa

Ungana nasi kwenye mazungumzo siku ya Alhamisi saa mbili usiku unaweza kujisajili hapa.

https://shorturl.at/Pt6V2

18/08/2026

Hii ni fursa ya kufikia watu kwa ajili ya ufalme wa Mungu

Tutakwenda Morogoro kwa ajili ya Uinjilisti lakini utambatana na matibabu. Kwa sadaka yako utasaidia kufanikisha jambo hili

NBC: 011103007970
MPESA: 350221839

The LIFE Ministry

Happy Nane Nane! Celebrating the hands that feed the nation. 🌾
08/08/2026

Happy Nane Nane! Celebrating the hands that feed the nation. 🌾

Jiunge nasi kwa kuchukua nafasi hii kushiriki kwenye umisheni huu.
03/08/2026

Jiunge nasi kwa kuchukua nafasi hii kushiriki kwenye umisheni huu.

Unamaswali jinsi gani unaweza kusaidia jamii kwa kufikisha Habari njema ya Yesu KristoKwa kushirikiana na Naioth Gospel ...
28/07/2026

Unamaswali jinsi gani unaweza kusaidia jamii kwa kufikisha Habari njema ya Yesu Kristo

Kwa kushirikiana na Naioth Gospel Assembly, The LIFE Ministry tumeandaa mafunzo ya Uinjilisti na Ufuasi

Karibu sana

Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuhudumu katika Shule ya Sekondari Iduda, mkoani Mbeya. Kupitia huduma hii, wanafunzi...
18/07/2026

Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuhudumu katika Shule ya Sekondari Iduda, mkoani Mbeya. Kupitia huduma hii, wanafunzi walipata mafunzo ya afya, mbinu za kufaulu masomo kupitia Study With Success Package, pamoja na kujifunza jinsi ya kuwa na mahusiano binafsi na Mungu.

Tunamshukuru Mungu kwamba wanafunzi 346 walipata nafasi ya kusikia Injili, na 60 walifanya uamuzi wa kumpokea Kristo.
Mungu aendelee kubariki na kuimarisha mbegu zilizopandwa katika maisha yao.

Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuhudumu katika Shule ya Sekondari Lutengano mkoani Mbeya.Kupitia huduma hii, tuliwas...
13/07/2026

Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuhudumu katika Shule ya Sekondari Lutengano mkoani Mbeya.
Kupitia huduma hii, tuliwasaidia wanafunzi katika maeneo ya taaluma (Academic Excellence), afya, na umuhimu wa kuwa na mahusiano binafsi na Mungu.

Kwa neema yake, tuliwafikia wanafunzi 311 na kati yao 121 walifanya uamuzi wa kumpokea Kristo.

Tunamtukuza Mungu kwa kazi kubwa anayoendelea kufanya katika maisha ya vijana na tunawashukuru wote wanaoendelea kutuombea.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:00
Tuesday 09:00 - 16:00
Wednesday 09:00 - 16:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lmtanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Lmtanzania:

Shortcuts

Share