YESU Anatupenda.

YESU Anatupenda. " Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanawe pekee, ili kila mtu amwaniye asipotee..." _ ( YOHANA 3: 16).

28/04/2026

Barikiwa unaposikiliza nyimbo hii Amen Amen ��

28/04/2026
19/03/2026

Je!, Una maoni gani kuhusu wakati ujao ??

Je!, Utaupata uzima wa milele ??... Ili kuupata kuna gharama yake!! ( 1 Yoh 5:13)

01/01/2026

Wishing you a very happy New Year 2026..

Mungu awapiganie .. 🙏🙏

01/01/2026

Wishing you a very happy New Year 2026...

Yohana 14:23
23 Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.

10/12/2025

"MANA" Inawakilisha nini ? ( Ufu 2:17; Yoh 6:32) ...

1: Chakula cha wakati/ muda mrefu,
2: Neno la Uzima .

16/11/2025

SABATO NJEMA 🙏

Address

Dar Es Salaam
MAGOMENI MUEMBE CHAI DAR ES SALAAM TZ

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YESU Anatupenda. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to YESU Anatupenda.:

Share