anointedchurchtz

anointedchurchtz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from anointedchurchtz, Church, Tandale, Dar es Salaam.

28/10/2025

Siku yetu ya saba ya semina usipange kukosa kesho ni siku ya mwisho ya semina

26/10/2025

Semina ya uponyaji siku ya Kwanzaa
MUNGU ALIHUDUMIA KWA VIWANGO VYA JUU SANA

25/10/2025

Siku ya Tatu ya semina hakika MUNGU ni mkuu Sana alizidj kuhudumia yeye mwenyewe

PASAKA PASAKA PASAKA!!!!Yohana 2:23[23]Hata alipokuwapo Yerusalemu kwenye sikukuu wakati wa PASAKA, watu wengi waliamini...
30/03/2024

PASAKA PASAKA PASAKA!!!!

Yohana 2:23
[23]Hata alipokuwapo Yerusalemu kwenye sikukuu wakati wa PASAKA, watu wengi waliamini jina lake, walipoziona ishara zake alizozifanya.

Mtu wa Mungu ni jumapili hii pale pale Anointed Church katika sikukuu ya PASAKA njoo uzione ishara zake na matendo yake makuu,

Karibuni Sana jumapili hii ya PASAKA

Anointed Church Tz
tandale kwa mtogole
Mawasiliano zaidi; 0714 282 222

Ni Kwa neema Jumapili ya Leo Jumapili ya uponyaji, Mungu ametuonekania katika maisha yetu na tumeuona Mkono wake ukitugu...
24/03/2024

Ni Kwa neema Jumapili ya Leo Jumapili ya uponyaji, Mungu ametuonekania katika maisha yetu na tumeuona Mkono wake ukitugusa, Mkono wake ukituponya.

Mungu wetu ni mkuu kweli kweli
Haleluuuuuuuuuuuyaaaaaah

Anointed Church Tz
Tandale Kwa mtogole
Mawasiliano Zaidi; +255 714 282 222

Hello Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu.Napenda kuwakaribisha Sana tena sana katika siku hiiNi Jumapili ya UPONYAJI, wale...
23/03/2024

Hello Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu.
Napenda kuwakaribisha Sana tena sana katika siku hii
Ni Jumapili ya UPONYAJI, walete wote wenye magonjwa na wenye shida mbalimbali ili wapate kusikiliza neno na kuponywa magonjwa yao
👇
Luka 5:15
[15]Lakini habari zake zikazidi kuenea, wakakutanika makutano mengi wamsikilize na kuponywa magonjwa yao.

Usikoseeee mtu wa Mungu
Jumapili hii
Anointed Church Tz
Tandale Kwa mtogole
Mawasiliano Zaidi; +255 714 282 222

Zaburi 118:21[21]Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. Ni mangapi ulimwomba Bwana na Bwana akaku...
02/03/2024

Zaburi 118:21
[21]Nitakushukuru kwa maana umenijibu,
Nawe umekuwa wokovu wangu.
Ni mangapi ulimwomba Bwana na Bwana akakujibu lakini haujawah mshukuru.
Njoo tumshukuru Mungu Kwa pamoja Kwa yote aliyotutendea Kwa maana Bwana hupendezwa na shukurani.

Ni jumapili hii si ya kukosa
Karibuni Sana wewe Mama, Baba, Dada, Kaka,
Mawasiliano; 0714 282 222

Mungu mnyenyekevu awatie nguvu 🙏

Bwana Yesu asifiwe wapendwa, nawakaribisha j'pili hii ndani ya Anointed Church Tz  ni kuponywa na kufunguliwa, karibuni ...
02/02/2024

Bwana Yesu asifiwe wapendwa, nawakaribisha j'pili hii ndani ya Anointed Church Tz ni kuponywa na kufunguliwa, karibuni tukaponywe na kufunguliwa na Bwana Yesu, kwamaana yote yawezekana kwake hakuna linaloshindikana katika yeye.

Karibuni Sana kwenye nyumba ya Bwana ili ufunguliwe Kwa neno na Kwa maombi pia.

Mawasiliano; +255 714 282222
Anointed church Tz

Matukio ya kwny ibada ya ubatizaji wa maji mengi Leo hii
28/01/2024

Matukio ya kwny ibada ya ubatizaji wa maji mengi Leo hii

Karibu kwenye ibada usipange kukosa walete wenye shida mbalimbali nao watafunguliwa
25/12/2023

Karibu kwenye ibada usipange kukosa walete wenye shida mbalimbali nao watafunguliwa

Address

Tandale
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when anointedchurchtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category