Love of Christ Church - Kibamba

Love of Christ Church - Kibamba WHO GOD IS FOR YOU,
The Almighty, The
Great One, The Prince of Peace, The Redeemer, The Healer. Ushauri wa ndoa na mahusiano

06/02/2025

BWANA asema hivi, Zuia sauti yako, usilie, na macho yako yasitoke machozi; Maana kazi yako itapata *THAWABU....na MAOMBI* yako yatajibiwa.

Na Mungu atakufanyia kicheko na kila asikiaye atacheka pamoja nawe.(Mwa 21:6,Yer 31:16)

Gusa link hii ujiunge na Group letu la Maombi ya moto na kufunguliwa.

Kila kifungo, kila kamba na Kila Nira Itahariwa nawe utainuka na kuanganza kwa Jina la Yesu Kristo.Nahum 1:13 Na sasa ni...
04/02/2025

Kila kifungo, kila kamba na Kila Nira Itahariwa nawe utainuka na kuanganza kwa Jina la Yesu Kristo.

Nahum 1:13 Na sasa nitakuvunjia nira yake, nami nitakupasulia mafungo yako.

Isaya 25:9 Katika siku hiyo watasema, Tazama, huyu ndiye Mungu wetu, Ndiye tuliyemngoja atusaidie; Huyu ndiye Bwana tuliyemngoja, Na tushangilie na kuufurahia wokovu wake.

Isaya 52:2 Jikung'ute mavumbi; uondoke, Uketi, Ee Yerusalemu; Jifungulie vifungo vya shingo yako, Ee binti Sayuni uliyefungwa.

Isaya 60:1 Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa Bwana umekuzukia.

Ni wakati wako sasa wa kukumbukwa na Bwana Mungu wetu, ni wakati wako wa Kupokea ahadi ulizo ahidiwa na Bwana. Kaa mkao ...
15/12/2024

Ni wakati wako sasa wa kukumbukwa na Bwana Mungu wetu, ni wakati wako wa Kupokea ahadi ulizo ahidiwa na Bwana. Kaa mkao wa Kupokea, Inua Imani Yako Sasa ili upokee...Ebr 10:38

15/12/2024
Karibusa ni hapa Luguruni Kibamba.
25/11/2024

Karibusa ni hapa Luguruni Kibamba.

Lazima Baraka zako zikufikie tuuu
25/11/2024

Lazima Baraka zako zikufikie tuuu

Address

Kibamba
Dar Es Salaam

Telephone

+255682581217

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Love of Christ Church - Kibamba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Love of Christ Church - Kibamba:

Share