Skauti Katoliki Dar es salaam

Skauti Katoliki Dar es salaam Umoja wa Skauti Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Dar es salaam.

Kambi imeisha salama
07/11/2024

Kambi imeisha salama

27/11/2023
Kongamano la Skauti Katoliki Jimbo Kuu La Dar es Salaam.Litakalofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Bunju - Mabwepande ...
27/11/2023

Kongamano la Skauti Katoliki Jimbo Kuu La Dar es Salaam.
Litakalofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Bunju - Mabwepande Tarehe 08-11/12/2023
Washiriki ni Skauti Wakatoliki na Marafiki wa Skauti Katoliki

Lengo la kongamano la Mwaka huu ni kutoa elimu ya kujua namna ya kuwalinda na Kujilinda na unyanyasaji wa watoto

Matukio
Misa Takatifu, Semina za Mbalimbali, Upandaji miti, Matembezi, moto kambi, na Michezo na burudani.

Mada:
Malezi na Makuzi - Pro Life Tanzania
Elimu ya Mazingira - TAJPI - Tanzania
Ulinzi wa Mtoto - Sr. Eugenia Mshana

Kauli mbiu - ULINZI WA MTOTO UNAANZA NA MIMI.

Wote mnakaribishwa...

"Be Prepared.....is our motto"
26/09/2023

"Be Prepared.....is our motto"

Skauti washiliki Ziara Ya Sanamu Ya Mama Maria wa Fatima Jimbo Kuu la Dar es Salaam mwezi September Mama maria.....Mama ...
25/09/2023

Skauti washiliki Ziara Ya Sanamu Ya Mama Maria wa Fatima Jimbo Kuu la Dar es Salaam mwezi September
Mama maria.....Mama wa wote

13/01/2023

Kongamano la Skauti Katoliki
Jimbo Kuu La Dar es Salaam
Kituo cha Don Bosco Bunju
09-11/12/2022

Ahsanteni

Kongamano la Skauti Katoliki Jimbo Kuu La Dar es SalaamKituo cha Don Bosco Bunju09-11/12/2022Ahsanteni
13/01/2023

Kongamano la Skauti Katoliki
Jimbo Kuu La Dar es Salaam
Kituo cha Don Bosco Bunju
09-11/12/2022

Ahsanteni

26/05/2022
Hongera kiongozi
16/01/2022

Hongera kiongozi

Address

Kanisa Kuu La Mtakatifu Yosefu
Dar Es Salaam
LIKOKO

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:00
Tuesday 09:00 - 16:00
Wednesday 09:00 - 16:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 16:00
Saturday 09:00 - 12:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Skauti Katoliki Dar es salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Skauti Katoliki Dar es salaam:

Share