Bishop Dankton Rudovick Rweikila

Bishop Dankton Rudovick Rweikila Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bishop Dankton Rudovick Rweikila, Religious organisation, Chanika/Sheratoni, Dar es Salaam.

✝️ Our worship services:
Tuesday (16:00–18:00 – Women Fellowship)
Thursday (16:00–18:30 – Word of God, Prayer, and Intercession)
Sunday (8:00 AM–12:00 PM) – Sunday Worship Service.
📍https://maps.app.goo.gl/aA3Xtz9r54c2prURA

06/09/2026

IBADA YA KUMILIKISHWA NA BWANA | JUMAPILI 06/09/2026 | Bishop Dankton Rweikila

🔥🙏 KARIBU KWENYE IBADA YA KUMILIKISHWA NA BWANA! 🙏🔥Kesho JUMAPILI 06 SEPTEMBA 2026, tunakutana katika uwepo wa Mungu kwa...
05/09/2026

🔥🙏 KARIBU KWENYE IBADA YA KUMILIKISHWA NA BWANA! 🙏🔥

Kesho JUMAPILI 06 SEPTEMBA 2026, tunakutana katika uwepo wa Mungu kwa ajili ya IBADA YA KUMILIKISHWA NA BWANA.

📖 “Na BWANA, Mungu wako, atakuleta katika nchi ambayo baba zako walimiliki, nawe utaimiliki; naye atakutendea mema, na kukuzidisha kuliko baba zako.”
— Kumbukumbu la Torati 30:5

🔥 Mungu anaenda kukurejesha, kukuzidisha na kukamilisha yale ambayo bado hayajatimia katika maisha yako.

04/09/2026

Wivu Haupimi Damu: Sumu Iliyojificha Kwenye Familia

04/09/2026

Wivu 🤝 Uchawi: Tofauti ni Jina Tu.

Unaua Amani: Wivu unakufanya ukose furaha na amani ya moyo kwa sababu tu ya mafanikio ya mtu mwingine.

Unajenga Chuki: Unaleta nia mbaya na matamanio ya kuanguka kwa wenzako, sawa na nia ya mchawi.

Unazuia Baraka: Moyo uliojaa wivu hauwezi kupokea au kuona baraka zako mwenyewe.

03/09/2026

IBADA YA MAOMBI NA MAOMBEZI | ALHAMISI 03/09/2026 | Bishop Dankton Rweikila

03/09/2026

🔥 WAMERUDISHWA KWENYE NAFASI YAO! 🙌 Maombi na Maombezi ya Urejesho

03/09/2026

⚠️ USITAMANI KILICHO KITAKATIFU! SHETANI ANAKUTEGESHAJE ILI ULAANIKE

Karibu kwenye Ibada ya Maombi, Maombezi na Kufunguliwa leo kuanzia saa 10:00 jioni. 🙏🔥Ni siku ya kufunguliwa, kuondolewa...
03/09/2026

Karibu kwenye Ibada ya Maombi, Maombezi na Kufunguliwa leo kuanzia saa 10:00 jioni. 🙏🔥

Ni siku ya kufunguliwa, kuondolewa katika mateso, kuvunjwa kwa vifungo na kupata ushindi katika kila eneo la maisha yako.

Usikubali kukaa na mzigo ambao Mungu anaweza kuuondoa leo. Njoo kwa imani, Mungu ana jambo jipya kwa ajili yako!

📖 Zaburi 34:19
“Mateso ya mwenye haki ni mengi, lakini BWANA humponya nayo yote.”

🔥 USIKOSE! NJOO NA MTU MWINGINE.

01/09/2026

NILIUMWA SANA, NDUGU WALIKATA TAMAA, ILA BWANA AKANIPONYA NA KUNIEPUSHA NA MAUTI

Address

Chanika/Sheratoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255717538499

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bishop Dankton Rudovick Rweikila posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share