Khairiyya Islamic Center

Khairiyya Islamic Center taasisi ya umoja wa khairiyya Islamic foundation

06/08/2026

KASWIDA:QALBY YUSARRU
MTUNZI : SAYYID HUSEIN BADAWY
MAQAAM:KURDI
MUIMBAJI :Hassan Uwesu

BONYEZA LINK ipo kwa bio ya Hassan Uwesu

Allah awasamehe maiti wetu na ayafanye makaburi Yao kuwa ni sehemu Katika sehemu za peponi Nasisi atuongoze na atupe mwi...
27/05/2026

Allah awasamehe maiti wetu na ayafanye makaburi Yao kuwa ni sehemu Katika sehemu za peponi
Nasisi atuongoze na atupe mwisho mwema

Shekh MOHAMMAD DEDES alipotembelea masjid khayriyya UNUNIO
20/05/2026

Shekh MOHAMMAD DEDES alipotembelea masjid khayriyya UNUNIO

Mwezi DHULQAADA(mfungo pili) umemalizika MWEZI DHULHIJJA(mfungo tatu) umeingiaMIEZI MITUKUFU inayofatana
17/05/2026

Mwezi DHULQAADA(mfungo pili) umemalizika
MWEZI DHULHIJJA(mfungo tatu) umeingia

MIEZI MITUKUFU inayofatana

07/05/2026
07/05/2026

SAYID OMAR BIN SAYID NUR kutoka unguja ..akitoa mawaidha KATiIKA hauli YA SHEKH HASSAN BIN AMEIR msikitini KWA ALINATU

HAULI hii inakusanya pamoja na hauli za wanafunzi wake shekh

Shekh ameir tajo mkubwa
Shekh ameir tajo mdogo
Shekh mgaza jumbe

Kila ifikapo mwezi 16 dhul qaada

TUNAKUMBUSHWA HAULI YA SHEKH HASSAN BIN AMEIR SHIRAZYITAKAYOFANYIKA MWEZI 16 DHULQAADASIKU YA JUMATATU 4/5/2026ZANZIBAR ...
01/05/2026

TUNAKUMBUSHWA

HAULI YA SHEKH HASSAN BIN AMEIR SHIRAZY

ITAKAYOFANYIKA MWEZI 16 DHULQAADA

SIKU YA JUMATATU 4/5/2026

ZANZIBAR

KWA ALINATU
MSIKITI WA SHEKH AMER TAJU

MUDA:BAADA YA SWALA YA ALASIRI

Mudir wa Al Madrasatul Khayriyyatul Hassaniya  Shekhe Uwesu Kibosha Mzee kwa niaba ya familia yake anawashuku ndugu wote...
05/04/2026

Mudir wa Al Madrasatul Khayriyyatul Hassaniya Shekhe Uwesu Kibosha Mzee kwa niaba ya familia yake anawashuku ndugu wote, jamaa na marafiki wote kuja kujumuika nao kushiriki katika dua ya Khitma ya aliyekuwa mke wake Marehemu Bi Mwanaisha Bakari iliyofanyika leo April 05,2026 nyumbani kwake Magomeni Mikumi.

Mwenyezi Mungu awajaze kheri 🤲

Mwenyezi Mungu awahifadhi wazee wetu 🙏
05/04/2026

Mwenyezi Mungu awahifadhi wazee wetu 🙏

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU BI MWANAISHA
01/04/2026

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU BI MWANAISHA

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Khairiyya Islamic Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share