02/11/2021
*RATIBA YA JUMATANO 03.11.2021 KKKT FELLOWSHIP CHAMAZI*
Ibada ya kuanza mwezi wa Novemba itafanyika saa 10:00-12:00 jioni. Ni mwezi wa *kurejesha*. Usikose kufika kupokea agenda ya Novemba 2021. Ni wakati wa kurejea, ni wakati wa kurejeshewa. Karibu sana. Kwa mawasiliano 0658-833-909. Ubarikiwe sana.