Kinondoni Revival Choir

Kinondoni Revival Choir Kinondoni Revival Choir is choir ministrering in KR Church, Kinondoni Assemblies of God.

26/01/2023
26/01/2023

Adidas imeshindwa katika kesi ya kujaribu kumzuia mwanamitindo Thom Browne kutumia mtindo wa mistari minne.

Kampuni hiyo kubwa ya mavazi ya michezo ilidai kuwa mistari minne ya chapa ya Thom Browne Inc ilikuwa sawa na mistari mitatu ya Adidas.

Browne alidai kuwa wanunuzi hawakuwa na uwezekano wa kuchanganya bidhaa hizo mbili kwani miongoni mwa sababu nyingine zake zilikuwa na idadi tofauti ya mistari.

Adidas walikuwa wamepanga kudai zaidi ya $7.8m (£6.4m) k**a fidia lakini jaji mjini New York aliunga mkono upande wa Browne.

Wanasheria wa Browne pia walibishana kuwa mistari ni mtindo wa kawaida. Wakati Adidas ilichukua hatua za kisheria mnamo 2021, vita kati ya kampuni hizo mbili ilianza zaidi ya miaka 15.

Msemaji wa Adidas alisema kampuni hiyo ilisikitishwa lakini "itaendelea kusimamia kwa uangalifu haki miliki, pamoja na kuwasilisha rufaa yoyote inayofaa".


Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinondoni Revival Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kinondoni Revival Choir:

Share