TAG Calvary International Worship Center

TAG Calvary International Worship Center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TAG Calvary International Worship Center, Christian church, yombo vituka, Dar es Salaam.

07/11/2025

can someone follow this page

2 Mambo ya Nyakati 7 : 14ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na...
15/10/2025

2 Mambo ya Nyakati 7 : 14

ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

09/10/2025
Maneno yana nguvu
09/10/2025

Maneno yana nguvu

Hello CMF
22/09/2025

Hello CMF

Karibu TAG CALVARY INTERNATIONAL WORSHIP CENTER (CIWC - VINGUNGUTI)kwa ibada na maombezi. Vingunguti (kwa pelapela)Wagon...
09/01/2025

Karibu TAG CALVARY INTERNATIONAL WORSHIP CENTER (CIWC - VINGUNGUTI)
kwa ibada na maombezi.
Vingunguti (kwa pelapela)
Wagonjwa na wenye shida za kila aina wanaombewa kwa jina la YESU, karibu ukutane na Matendo makuu ya MUNGU!.

💥♦️ *KARIBU BIBLE SURVEY FELLOWSHIP.* ♦️💥 📌Huduma ya Bible survey inapenda kuwakaribisha wale wote ambao watapenda/kuhit...
10/09/2024

💥♦️ *KARIBU BIBLE SURVEY FELLOWSHIP.* ♦️💥
📌Huduma ya Bible survey inapenda kuwakaribisha wale wote ambao watapenda/kuhitaji kujiunga na kundi hili. inajihusisha na mambo ya kiroho, kijamii na kiuchumi.

💥 Baadhi ya Faida za kujiunga na BIBLE SURVEY💥
1. *Connection*
📌Kujiunga na Bible survey kutakupa fursa ya kukutana na watumishi mbalimbali kutoka makanisa tofautitofauti wanaomtumikia Mungu katika HUDUMA mbalimbali. Mfano, Wahubiri (wainjilisti), Waalimu wa neno la MUNGU, Waimbaji
Wanamaombi, wachungaji n.k

2. *Utumishi/kutumika.*
📌Kupitia Bible survey utashirikiana na wanachama wenzako kwenye huduma mbalimbali kulingana na wito wako. Tunafanya mikutano ya injili mikubwa na midogo, semina makanisani, makongamano ya Maombi, sifa na kuabudu n.k, Charity (huduma kwa wahitaji) n.k

3. *Usomaji wa Biblia.*
📌Tutakuwa na program ya usomaji wa Biblia kwa pamoja kila Siku hadi pale vitabu vyote vitakapoisha na kuanza kurudia tena na tena.

4. *uchambuzi/ufafanuzi wa Biblia (maandiko)*
📌Tutakuwa na program ya kuchambua kitabu kimoja hadi kingine cha Biblia tukiangalia mambo muhimu k**a MWANDISHI, MWAKA, KUSUDI/LENGO, n.k

5. *Semina na mafundisho mbalimbali ya Kiroho, kijamii na kiuchumi.*
📌Tuko na program za kujiimalisha kiroho, kijamii, na kiuchumi kwa mafundisho na kwa vitendo LENGO ni kukua na kuimalika katika maeneo hayo yote.

♦️ _hayo ni machache kati ya mengi na mazuri ambayo BWANA hutuwezesha kufanya_ 😀
*📌Jinsi ya Kujiunga:*

1. Save *namba moja* ya kiongozi kati ya hizi 0620 476 483, 0768 763 002, 0759 727 236, 0687 124 746, 0715 770 166 kwenye simu yako.

2. andika ujumbe WhatsApp wenye MAJINA YAKO kamili, MKOA uliopo na KANISA unaloabudu.
Mfano: *JOHN K. RENATUS- DAR ES SALAAM (EAGT MABIBO* kisha tuma ujumbe Whatsapp wenye Neno "NIUNGE BIBLE SURVEY"

NB, Usitume kwa SMS ya kawaida, tuma ujumbe kwa WhatsApp. Ahsante.

💥♦️ *MUHIMU: TUMA UJUMBE HUU KWA MAGROUP MENGINE, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIOOKOKA♦️💥*

Tafadhali share,

💥♦️ *KARIBU BIBLE SURVEY FELLOWSHIP.* ♦️💥 📌Huduma ya Bible survey inapenda kuwakaribisha wale wote ambao watapenda/kuhit...
04/09/2024

*_Tafadhali, Share ujumbe hu

Bible survey
22/08/2024

Bible survey

11/08/2024

KARIBU TAG CALVARY INTERNATIONAL WORSHIP CENTER-VINGUNGUTI

God is good
08/07/2024

God is good

Address

Yombo Vituka
Dar Es Salaam

Telephone

+255768763002

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Calvary International Worship Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share