Charity of HOPE Ministry International . HCC.

Charity  of HOPE Ministry International . HCC. With HOPE community churches

Charity of HOPE Ministry International is a religious organization in dares salaam Tanzania with the aim of preaching the gospel and reaching out to the unreached .

God is Good.
30/11/2021

God is Good.

God is Powerful
11/09/2021

God is Powerful

Shalom wapendwa don't try to miss this.
26/02/2020

Shalom wapendwa don't try to miss this.

Habari za asubuhi wapendwa, tusaidie Ku share na Mungu atakubariki sana.
06/02/2020

Habari za asubuhi wapendwa, tusaidie Ku share na Mungu atakubariki sana.

Hope community choir toka mbezi beach sala sala kona ya kwenda micco dispensary.

Kwaya Kuu ya Hope Community Church Sala Sala (HCC) katika ubora wake.
30/01/2020

Kwaya Kuu ya
Hope Community Church Sala Sala (HCC) katika ubora wake.

Shalom, Habari Njema Kwa wote  Jumapili ya Tarehe 26/01/2019 Kwa Mara ya Kwanza Kwaya ya Huduma ya The Charity of Hope  ...
23/01/2020

Shalom, Habari Njema Kwa wote Jumapili ya Tarehe 26/01/2019 Kwa Mara ya Kwanza Kwaya ya Huduma ya The Charity of Hope Ministry International, katika Kanisa la Hope Community Church Dar es salaam Tanzania itatambulishwa rasmi kwenye TV. Angalia TBC 1 Kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa Tatu asubuhi katika kipindi cha TUMWIMBIE BWANA. Usikose kufuatilia kipindi hicho.

13/01/2020

Habari ya uzima Wapendwa na wadau mbali mbali asanteni sana kwa kuzidi Ku like Page hii Mungu awabariki, Pia endelea Kusambaza na kualika na wengine ili wazidi kuipenda Page hii ili Huduma izidi kuwafikia watu wengi, asanteni sana na Muwe na Siku Njema na wiki lenye Baraka.

Address

Salasala
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Charity of HOPE Ministry International . HCC. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Charity of HOPE Ministry International . HCC.:

Share