FPCT Ukonga-Madafu

FPCT Ukonga-Madafu Kanisa la Pentekoste FPCT Tanzania. Tunamtumikia Mungu kutokea UKONGA-MADAFU Dar es salaam
Karibuni

11/10/2025

saport Yako niya muhimu kwa kijana wetu nenda You Tube kupitia Link hapo chini 👇 👇 👇 Usisaha ku subscribe ku share na ku comment Asante 👏 ubarikiwe na BWANA

https://youtube.com/?si=4IXe-pdru9HN_Rcq

Send a message to learn more

Wenye jibu ni wale waliohudhuria ibada ya jumapili katika kabisa la FPCT Ukonga-madafu..... Napenda kukualika kujiunga n...
29/08/2025

Wenye jibu ni wale waliohudhuria ibada ya jumapili katika kabisa la FPCT Ukonga-madafu..... Napenda kukualika kujiunga nasi katika ibada za Kila jumapili...karibuni nyote na Mungu wa mbinguni awabariki.

ijumaa hii siyakukosa kwa kweli 🤔🤔 njoo uone maajabu ya Mungu FPCT Ukonga-madafu
05/04/2025

ijumaa hii siyakukosa kwa kweli 🤔🤔 njoo uone maajabu ya Mungu FPCT Ukonga-madafu

Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.1 Wakorintho 1:18
20/12/2024

Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
1 Wakorintho 1:18

Usipange kukosa
19/12/2024

Usipange kukosa

19/12/2024

Hallelujah 🙌🙏

18/12/2024

Wow

18/12/2024
16 Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao. 2 Wafalme 6:16Kwa hakika Mungu yup...
13/12/2024

16 Akamjibu, Usiogope; maana walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao.
2 Wafalme 6:16

Kwa hakika Mungu yupo pamoja nasi

Matukio yaliyo jili katika Ibada ya siku ya Leo imekuwa Jumapili njema sana yenye Baraka nyingi.Nichukue nafasi hii kuka...
03/11/2024

Matukio yaliyo jili katika Ibada ya siku ya Leo imekuwa Jumapili njema sana yenye Baraka nyingi.
Nichukue nafasi hii kukaribisha kwenye mkesha utakao fanyika ijumaa.

Rafiki Usipange kukosa katika mkesha utakao fanyika ijumaa hii katika kanisa la FPCT Ukonga-madafu
29/10/2024

Rafiki Usipange kukosa katika mkesha utakao fanyika ijumaa hii katika kanisa la FPCT Ukonga-madafu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Ukonga-Madafu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share